Pool table linauzwa kwa bei nzuri!!

Pool table linauzwa kwa bei nzuri!!

HEAVY DUTY

New Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Heshima kwenu wakuu!

Nimehama kikazi kwenda mkoa mwingine na sina msimamizi mwaminif wa kumwachia hivyo nimeamua kuliuza.

Liko kwenye hali nzuri, kitambaa na stick ziko poa na eneo lina wateja wengi nimelilipia kwa miezi sita. Ukinunua unabaki kumweka msimamizi tu kwa kuwa kila kitu kipo. Wastani wa mapato kwa siku ni sh 14000 na kodi ni sh 25000 kwa mwezi ila nimelipia kodi kwa miezi sita ina maana ukinunua pool table nakupa eneo bure kwa hio miezi sita niliyolipia baadae utaanza kulipia kodi wewe mwenyewe.

Bei ni shilingi MILIONI MOJA pamoja na eneo. Eneo liko Ukonga-Moshi bar.

Karibuni wadau. Kwa mawasiliano piga 0713233840.
 
Weka picha.
Kodi kwa mwezi ni kiasi gani na pia wastan wa mapato yako kwa siku ilikuwa kiasi gani.
 
Aisee kama ni hivyo hesabu nzuri.
Sema tu kwa sie wengine ndio issue,maana Pool imo Bar.
Lakini kwa hesabu ipo poa sana,hata kama ni 10,000 bado maisha yapo mwake hapo.
 
Back
Top Bottom