mtahengerwa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 384
- 173
Nina mashaka kama umeichambua bajeti vizuri na kuielewa,possibly umeandika bila kujua hata content za bajeti!Kweli wewe ni chaguo la Mungu kwa bajeti hii watanzania wote tunakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu.
Tunakuombea uwe Rais wetu wa kudumu mpaka Mungu atakakuita.
Wewe ni wa pili au wa kwanza kabisa kuwa rais bora Tanzania.
Una haki ya kuanza kutangazwa kuwa kwenye heri kutokana na maisha unayoisha.
All the best my president.
Zidumu fikra za mwenyekiti !!Dah tumuombee raisi wetu amalize salama vipindi vyote viwili vya utawala wake. Na kama ingewezekana tungemuongezea zaidi.
Sisi wanyonge ndo tunaojua alichotufanyia Rais Magufuli hakika Mungu yupo upande wakeAcha kusifia upuuzi Kwa bajeti gani ya maana aliyoitoa huyo rais wako miaka nenda rudi mnakomaa na sigara,pombe na mafuta,au kisa katoa kodi ya magari ndo mnatoka povu hapa? Magufuli kafeli na atazidi kufeli Tu Kwa Sera zake mbovu anazoleta kwenye nchi yetu

Ninyi Waroma mna shida sana,Mwalimu sijui tayari ameshatangazwa kuwa Mtakatifu?!Kana kwamba hiyo haitoshi JPM naye naona umeshamuanzishia mchakato wa mwenye heri.Dah,sawa bwana,ila naona tusubiri kwanza mpaka angalau 100% ya hiyo budget iwe disbursed.Hapo ndio tutapata uhalali wa kuanza mchakato wa uenye heri.Kweli wewe ni chaguo la Mungu kwa bajeti hii watanzania wote tunakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu.