Pongezi za dhati Rais Magufuli kwa bajeti hii mwaka 2017/2018

Bajeti haina maana sana zaidi ya kuwabana wananchi tu, kwa sababu serikali haifuati bajeti.
 
Bajeti ya kwenye makaratasi unaishangilia kapimwe akili,bajeti inayoishia serikali ilipaswa ikusanye trilioni 15 mpaka sasa ni almist trilioni 11 tu ndo zimekusanywa hii bajeti unayosifia fedha za ndani ni trilioni 17.5 kama ulishindwa 15 utaweza 17?
 
Sisi kama UKAWA, tumemkubali rais Magufuli kwa dhati kabisa na uchaguzi wa 2020 hatutasimamisha mgombea urais,
badala yake tutaelekeza nguvu zetu kwenye ubunge.
Na tutasimamisha wagombea ubunge nchi nzima.

Mungu ibariki Tanzania
Haya ndio mawazo mtambuka tunayataka kuyasikia
 
Bajeti ya kwenye makaratasi unaishangilia kapimwe akili,bajeti inayoishia serikali ilipaswa ikusanye trilioni 15 mpaka sasa ni almist trilioni 11 tu ndo zimekusanywa hii bajeti unayosifia fedha za ndani ni trilioni 17.5 kama ulishindwa 15 utaweza 17?
Hahah matajiri mtaishi kama mashetani na maskini wataishi kama malaika. Hivyo tuu. Usilalamike saaana. Unapiteza muda
 
Nina mashaka kama umeichambua bajeti vizuri na kuielewa,possibly umeandika bila kujua hata content za bajeti!

Tupe utekelezaji wa bajeti ya mwaka ulioisha
Yaani bro watanzania ni shida, bajet iliyopita haikutekelezwa hata kwa 50% leo tunashabikia maelezo ya kwenye makaratasi, kilichokwamisha iliyoshindwa kimeondolewa? Nilitegemea waziri atuambia 16/17 ilikwamishwa na nini na 17/18 itafanikishwaje
 
Mmh yani watanzania bana..ukishapewa buku saba basi unasahau shida zote
 
Acha kusifia upuuzi Kwa bajeti gani ya maana aliyoitoa huyo rais wako miaka nenda rudi mnakomaa na sigara,pombe na mafuta,au kisa katoa kodi ya magari ndo mnatoka povu hapa? Magufuli kafeli na atazidi kufeli Tu Kwa Sera zake mbovu anazoleta kwenye nchi yetu
Mkuu kodi gani ya magari imeondolewa? Hebu cheki hapa kama road licence ingekuwa laki 3 kwa mwaka , mwenye gari angetoa hiyo laki 3 kwa mwaka mzima. Kama wataongeza sh hata 200 kwa lita ya mafuta, then uwe na gari linatumia litre 1000 kwa mwezi itabidi utoe 1000×200=200000 ×12=2,400,000. Huo ni mfano tu sijajua road licence ilikuwa sh ngapi maana mwenzako natumia usafiri wa umma, vilevile sijajua wamepandisha hiyo gharama ya mafuta kwa kiasi gani, kama unajua basi pigs mahesabu utaona kwamba hakuna kilichopunguzwa bali road licence imwkuwa kubwa kuliko zamani. Lakini pia kwasasa itatozwa hadi kwa watu masikini wasio na magari kupitia nauli na gharama za usafirishaji
 
Kweli wewe ni chaguo la Mungu kwa bajeti hii watanzania wote tunakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu.

Tunakuombea uwe Rais wetu wa kudumu mpaka Mungu atakakuita.

Wewe ni wa pili au wa kwanza kabisa kuwa rais bora Tanzania.

Una haki ya kuanza kutangazwa kuwa kwenye heri kutokana na maisha unayoisha.

All the best my president.
Chaguo la mungu au Mungu ? We umevimbiwa maharage
 
Acha kusifia upuuzi Kwa bajeti gani ya maana aliyoitoa huyo rais wako miaka nenda rudi mnakomaa na sigara,pombe na mafuta,au kisa katoa kodi ya magari ndo mnatoka povu hapa? Magufuli kafeli na atazidi kufeli Tu Kwa Sera zake mbovu anazoleta kwenye nchi yetu
Kwahiyo nani atakaye faulu magufuli akifeli?
 
Yaani bro watanzania ni shida, bajet iliyopita haikutekelezwa hata kwa 50% leo tunashabikia maelezo ya kwenye makaratasi, kilichokwamisha iliyoshindwa kimeondolewa? Nilitegemea waziri atuambia 16/17 ilikwamishwa na nini na 17/18 itafanikishwaje
50% umeenda mbali,bajeti iliyoisha haikufikia 30%
 
Mkuu kodi gani ya magari imeondolewa? Hebu cheki hapa kama road licence ingekuwa laki 3 kwa mwaka , mwenye gari angetoa hiyo laki 3 kwa mwaka mzima. Kama wataongeza sh hata 200 kwa lita ya mafuta, then uwe na gari linatumia litre 1000 kwa mwezi itabidi utoe 1000×200=200000 ×12=2,400,000. Huo ni mfano tu sijajua road licence ilikuwa sh ngapi maana mwenzako natumia usafiri wa umma, vilevile sijajua wamepandisha hiyo gharama ya mafuta kwa kiasi gani, kama unajua basi pigs mahesabu utaona kwamba hakuna kilichopunguzwa bali road licence imwkuwa kubwa kuliko zamani. Lakini pia kwasasa itatozwa hadi kwa watu masikini wasio na magari kupitia nauli na gharama za usafirishaji
Yaani acha kabisa watumia Gari za public tujiandae kuongezewa nauli!!
 
Kosa kubwa la bajeti hii ni kugusa au kuongeza kodi kwenye mafuta..petrol,diesel na mafuta ya taa.

Hali hiyo itapandisha being ya kila Kitu kuanzia nauli,Chakula na vitu mbalimbali madukani.
 
Back
Top Bottom