Pongezi za dhati Rais Magufuli kwa bajeti hii mwaka 2017/2018

mtahengerwa

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
384
173
Kweli wewe ni chaguo la Mungu kwa bajeti hii watanzania wote tunakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu.

Tunakuombea uwe Rais wetu wa kudumu mpaka Mungu atakakuita.

Wewe ni wa pili au wa kwanza kabisa kuwa rais bora Tanzania.

Una haki ya kuanza kutangazwa kuwa kwenye heri kutokana na maisha unayoisha.

All the best my president.
 
Nina mashaka kama umeichambua bajeti vizuri na kuielewa,possibly umeandika bila kujua hata content za bajeti!

Tupe utekelezaji wa bajeti ya mwaka ulioisha
 
Acha kusifia upuuzi Kwa bajeti gani ya maana aliyoitoa huyo rais wako miaka nenda rudi mnakomaa na sigara,pombe na mafuta,au kisa katoa kodi ya magari ndo mnatoka povu hapa? Magufuli kafeli na atazidi kufeli Tu Kwa Sera zake mbovu anazoleta kwenye nchi yetu
 
Ngoja kwanza Lissu achangie ili upatikane muongozo wa wengine kuchangia pia...
 
Sina hakika kama mtoa mada amepata muda wa kutosha kuichambua bajeti na kujiridhisha,bandiko lake lina upungufu Mwingi,hamna takwimu wala vifungu kuonesha ni mambo yepi or sehemu ipi katika bajeti hii ya mwaka 2017/2018 inaonesha utofauti na zilizopita hadi kuisifia.

Mjadala wa bajeti ni mjadala mpana sana unaohitaji muda, utalaamu na tafsiri yake kiuchumi katika mazingira halisi ya Mtanzania wa kawaida.

So alitakiwa kutuambia Uzuri na Ubaya wa hii bajeti.
 
Acha kusifia upuuzi Kwa bajeti gani ya maana aliyoitoa huyo rais wako miaka nenda rudi mnakomaa na sigara,pombe na mafuta,au kisa katoa kodi ya magari ndo mnatoka povu hapa? Magufuli kafeli na atazidi kufeli Tu Kwa Sera zake mbovu anazoleta kwenye nchi yetu
Sisi wanyonge ndo tunaojua alichotufanyia Rais Magufuli hakika Mungu yupo upande wake
 
Hv ni kwanini watu wanapenda kujitoa ufahamu kama huyu mleta mada....Kwanini ujitie majinuni kusifia jambo usilo lijua?

Kuwa CCM ni ugonjwa mbaya zaidi ya Ebola....Kwann kusifia hata mahali pasipofaa? Eti Magu ni rais bora kabisaaa....Nyoooooo.
 
Kweli wewe ni chaguo la Mungu kwa bajeti hii watanzania wote tunakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu.

Tunakuombea uwe Rais wetu wa kudumu mpaka Mungu atakakuita.

Wewe ni wa pili au wa kwanza kabisa kuwa rais bora Tanzania.

Una haki ya kuanza kutangazwa kuwa kwenye heri kutokana na maisha unayoisha.

All the best my president.
Ninyi Waroma mna shida sana,Mwalimu sijui tayari ameshatangazwa kuwa Mtakatifu?!Kana kwamba hiyo haitoshi JPM naye naona umeshamuanzishia mchakato wa mwenye heri.Dah,sawa bwana,ila naona tusubiri kwanza mpaka angalau 100% ya hiyo budget iwe disbursed.Hapo ndio tutapata uhalali wa kuanza mchakato wa uenye heri.
 
Back
Top Bottom