Pongezi za dhati Rais Magufuli kwa bajeti hii mwaka 2017/2018

Kweli wewe ni chaguo la Mungu kwa bajeti hii watanzania wote tunakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu.

Tunakuombea uwe Rais wetu wa kudumu mpaka Mungu atakakuita.

Wewe ni wa pili au wa kwanza kabisa kuwa rais bora Tanzania.

Una haki ya kuanza kutangazwa kuwa kwenye heri kutokana na maisha unayoisha.

All the best my president.

Watu wa aina yako ndio mnafanya nchi hii inaendelea kuwa maskini. Hujafanya uchambuzi wowote. Basis ya kusifia hiyo bajeti ni nini? Huwezi ukaingia hapa JF na kuandika mambo uliyoandika hapa. Huko ni kudharau wasomaji wako. Hopeless kabisa. Na hao Watanzania unaowasemea ni kina nani? Ni Mtanzania gani aliyekutuma uje kumwaga sifa hapa bila msingi wowote? Yaani ungekuwa karibu nisingekuacha. Yaani nafikiri kuna uchambuzi wa maana umefanya kumbe wapi. Umeniudhi sana.
 
umetisha
 
Nina mashaka kama umeichambua bajeti vizuri na kuielewa,possibly umeandika bila kujua hata content za bajeti!

Tupe utekelezaji wa bajeti ya mwaka ulioisha

Mie nina wasiwasi kama pia wewe unayaishi maisha ya mtanzania wa kawaida
 
hapo unawaza nauli ya daladala asubuhi na usisahau unavyo mkwepa faza hausi kumlipa kodi yake ila umepata nguvu ya kubofya simu na kujifariji duh hapo ndipo ninapo wapenda wa Tz wenzangu.
 
Elitwege ameongea kitu sahihi mkuu ni bora mupiganie ubunge, Urals munapoteza muda.
 
Watu wa aina yako ndio mnafanya nchi hii inaendelea kuwa maskini. Hujafanya uchambuzi wowote. Basis ya kusifia hiyo bajeti ni nini? Huwezi ukaingia hapa JF na kuandika mambo uliyoandika hapa. Huko ni kudharau wasomaji wako. Hopeless kabisa. Na hao Watanzania unaowasemea ni kina nani? Ni Mtanzania gani aliyekutuma uje kumwaga sifa hapa bila msingi wowote? Yaani ungekuwa karibu nisingekuacha. Yaani nafikiri kuna uchambuzi wa maana umefanya kumbe wapi. Umeniudhi sana.
Kuna watu mna roho za korosho, mnafanya kila namna kupinga mazuri yote anayofanya Rais Magufuli hakika hamtaweza mtaishia kulalamika mpaka mwisho wa maishi yenu ya hapa duniani na matakwa yenu hayatasikilizwa kwa kuwa mnapingana na mpakwa mafuta wa bwana Rais Magufuli.
 
Waziri wa nishati na madini ni zito wewe hata ucheze juu ya sindano pombe hakuchaguiiiii
 
Hii bajeti ya Leo si mchezo.
Vita dhidi ya bajeti haijawahi kumuacha mtu salama.
 
tuna miaka ming sana mbele kama 50, kupata raia wenye fikra huru na uwezo wa kuchanganua mambo kwa utash.
 
Sisi kama UKAWA, tumemkubali rais Magufuli kwa dhati kabisa na uchaguzi wa 2020 hatutasimamisha mgombea urais,
badala yake tutaelekeza nguvu zetu kwenye ubunge.
Na tutasimamisha wagombea ubunge nchi nzima.

Mungu ibariki Tanzania
Sisi kama CCM tumesikitishwa Sana na uteuzi wa wapinzani serikalini, Tumejipanga kuwasaidia Nyinyi Ukawa kulinda kura zenu kwa hali na Mali ili kumpokonya tonge mdomoni maana ndani ya chama Ni ngumu.
 
Natumaini michango ya wabunge itakuwa LIVE ili tuweze kuona uzuri wa hii bajeti hii ya kumkomboa mlala hoi.
 
Back
Top Bottom