The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,693
Mnataka tenaView attachment 3513730
Leo dunia imejua mama anavyopendwa na kuheshimiwa.
Kwa hesima, tumekaa ndani tena kwa adabu kuliko wafungwa.
Tumesherehekea uhuru bila uhuru kama wafungwa kwa sababu ya kumtii na kumpenda tukiogopa kumuudhi.
Tumekubali kugeuzwa wafungwa ili kuonyesha heshima na uzalendo wetu.
Tumetulia hata wale walioikuwa wamepanga kuandamana kwa kuogopa kumuudhi mama yetu kipenzi na mpendwa mwenye maono na mtenda maajabu kama ambavyo ameonyesha leo.
Tumeweza kuonyesha tulivyo taifa la amani.
Haijawahi kutokea popote duniani.
Wageni washindwe. Kwanini pesa wawahonge vijana wetu badili ya kuwapa viongozi wetu?
Wajue kazi yao ni kutoa pesa za mikopo na misaada siyo ushauri wala kutukosoa. Uliona wapi?
Pia, tuwaonye diaspora wanaopenda kuunga mkono maandamano. Kazi yao ni kubeba maboksi na kuwekeza nyumbani lakini siyo kukosoa. Hawajui kuwa baniani mbaya kiatu chake dawa?
Mama ziiii, sorry, hoyeeeeee!
Mutasema sana mkuu. Maandamano hamukufanya na kwahivyo hamukupata nafasi yaLeo dunia imejua mama anavyopendwa na kuheshimiwa.
Kwa hesima, tumekaa ndani tena kwa adabu kuliko wafungwa.
Tumesherehekea uhuru bila uhuru kama wafungwa kwa sababu ya kumtii na kumpenda tukiogopa kumuudhi.
Tumekubali kugeuzwa wafungwa ili kuonyesha heshima na uzalendo wetu.
Tumetulia hata wale walioikuwa wamepanga kuandamana kwa kuogopa kumuudhi mama yetu kipenzi na mpendwa mwenye maono na mtenda maajabu kama ambavyo ameonyesha leo.
Tumeweza kuonyesha tulivyo taifa la amani.
Haijawahi kutokea popote duniani.
Wageni washindwe. Kwanini pesa wawahonge vijana wetu badili ya kuwapa viongozi wetu?
Wajue kazi yao ni kutoa pesa za mikopo na misaada siyo ushauri wala kutukosoa. Uliona wapi?
Pia, tuwaonye diaspora wanaopenda kuunga mkono maandamano. Kazi yao ni kubeba maboksi na kuwekeza nyumbani lakini siyo kukosoa.
Hawajui kuwa baniani mbaya kiatu chake dawa?
Mama ziiii, sorry, hoyeeeeee!
Ni kweli. Wameishajitokeza na kujidhihiri tena wengi tu namna ambavyo hawaambui kitu mwanangu.The Father of All hii tafsida uliyotumia hapa wale mazwazwa wa yuvisisiemu akiwemo pia Girishon hawatakuelewa na kukusifu kumbe unawasemanga!
Leo dunia imejua mama anavyopendwa na kuheshimiwa.
Kwa hesima, tumekaa ndani tena kwa adabu kuliko wafungwa.
Tumesherehekea uhuru bila uhuru kama wafungwa kwa sababu ya kumtii na kumpenda tukiogopa kumuudhi.
Tumekubali kugeuzwa wafungwa ili kuonyesha heshima na uzalendo wetu.
Tumetulia hata wale walioikuwa wamepanga kuandamana kwa kuogopa kumuudhi mama yetu kipenzi na mpendwa mwenye maono na mtenda maajabu kama ambavyo ameonyesha leo.
Tumeweza kuonyesha tulivyo taifa la amani.
Haijawahi kutokea popote duniani.
Wageni washindwe. Kwanini pesa wawahonge vijana wetu badili ya kuwapa viongozi wetu?
Wajue kazi yao ni kutoa pesa za mikopo na misaada siyo ushauri wala kutukosoa. Uliona wapi?
Pia, tuwaonye diaspora wanaopenda kuunga mkono maandamano. Kazi yao ni kubeba maboksi na kuwekeza nyumbani lakini siyo kukosoa.
Hawajui kuwa baniani mbaya kiatu chake dawa?
Mama ziiii, sorry, hoyeeeeee!
Zawadi ya kiongozi kilaza?!Mama Samia ni zawadi kwetu wazalendo toka kwa muumba wetu🙏
Hata wewe na uzao wako mtafaidi matunda ya maendeleo ya mama SamiaZawadi ya kiongozi kilaza?!