Nauliza wakuu, je? Hawa jamaa hawawezi kuzuia mshahara wa mwezi huu?
wasi wasi wangu tu ni maisha yake.. hawa watawala sikuhizi hata akili hawatumii, wanaua wanaharakati wanavotaka hata hawako ma kini wala kufikiria matokeo, MUNGU amkulinde Mkoba
Nauliza wakuu, je? Hawa jamaa hawawezi kuzuia mshahara wa mwezi huu?
usihofu weweNauliza wakuu, je? Hawa jamaa hawawezi kuzuia mshahara wa mwezi huu?
Nauliza wakuu, je? Hawa jamaa hawawezi kuzuia mshahara wa mwezi huu?
unajua bana hakunaga mtu mnyonge duniani. utaweza sema fulan hata nifanyeje hafurukuti kwangu kumbe bana ni tofauti kabisa, atavumilia sana lakini ipo siku ataamka tu na kuonyesha yeye ni nani.
huu ni wakati wetu waalim kuonyesha kwamba sababu tunayo, nguvu tunayo na nia tunayo kamwe htaurudi nyuma mapambano yaendelea............ALUTA CONTINUA.
Hii game inaweza kupigwa kule Kazimzumbwi. Wadau wa mitaa hiyo kaeni chonjo.ngoja niwah msitu wa pande, naweza kumuokoa m2.
Mh...!!! Kumbe tupo wengi humu..na wewe you are a teacher???
Mh...!!! Kumbe tupo wengi humu..na wewe you are a teacher???