Huburya Charles
Member
- Dec 7, 2011
- 68
- 6
Kumbe CCM ni zizi na wana CCM ni wanyamavicenti tunamuhitaji ktk chama cha baba yake mkubwa, tutatumia mbinu yoyote kabla ya 2015 awe zizini
tabu ya wanasiasa hawajiungi kazi yao kusoma tu tumwambie Slaa na Mukama na Maalim wawalazmishe wabunge wao kujiunga humuKwa mwenye taarifa naomba anijibu. JE VINCENT NYERERE ANA ACOUNT HUMU JF? Ni vyema nae akijiunga kama wenzie ili tupate kubadilishana maneno/mawazo pale inapobidi.
vicenti tunamuhitaji ktk chama cha baba yake mkubwa, tutatumia mbinu yoyote kabla ya 2015 awe zizini
Nadhani kunahaja sasa ya kuwataka hawa jamaa wajiunge nasi. Nitamtafuta FB na nitamuomba ajitokeze tujumuike kwa pamoja jamvini.tabu ya wanasiasa hawajiungi kazi yao kusoma tu tumwambie Slaa na Mukama na Maalim wawalazmishe wabunge wao kujiunga humu
Leo nilikutana na mmiliki wa STAR tv na RFA lunch hour pale serena dsm. Tulisalimiana na nikamshukuru kwa radio yake rfa kutupatia updates za matokeo ya uchaguzi arumeru mashariki mpaka saa za usiku wakati tbc fm hata tbc taifa walikuwa hawafanyi hivyo. Pamoja na kwamba alielewa nafurahia ushindi wa cdm alinipa jibu la kiungwana siwezi kumlaumu