Tudai Haki
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 315
- 82
Nawapongeza Sana Kikundi Cha Hamasa Na Burudani Kwa Wachezaji Na Hata Watizamaji Cha Mpira Na Maendeleo A.k.a
Simba Ukawa(Umoja Wa Kampeni Za Wambura)
Kikundi hiki kimekuwa kikihamasisha kisasa kabisa kwa kuvaa sare nadhifu huku wakishangilia mwanzo mwisho.
Tunaomba wasiishie kwa simba tu bali wafanye hivyo hata timu ya taifa inapocheza,
Kwa vile wanatumia ghalama ningewaomba makampuni yawadhamini (hasa kwa mavazi na usafiri) kwani pia ni fursa ya matangazo.
Mwisho nawashauri na watani wao wa jadi (Yanga) nao waige jambo hili kwa maendeleo ya timu yao kwani kanuni moja ya maendeleo inasema "ukishindwa kuvumbua basi iga" maana hata wao nadhani wameiga kwa Liverpool.
Nawasilisha.