Aisee nawapongeza sana uongozi wa EATV kwa kuonesha uzalendo wa kusaidia wasanii sio kama media zingine.EATV wanasupport Bongo movie kwenye idea ya "Barazani" ambayo itawezesha Bongo movie kupambana na uharamia na kuhakikisha kila mtu anaehusika na production anapata haki stahiki.Hongereni sana EAtv kwa uzalendo wenu!