Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa askali polisi wa Geita Central station kwa jitihada walizo Fanya mpaka kumuokoa mtoto alie kua ametekwa na mtu alie toa masharti ya kupewa fedha ili amuachilie
Tarehe 03/01/2017 nilifika nyumbani mida ya saa saba mchana ambapo nilikuta nyumba imejaa watu na kila nilie msalimia hakujibu wote walionekana kua na nyuso za huzuni. ndipo nilipo pata anza kuhisi pengine wakati naondoka pengine kuna tatizo limetokea japo nilijifariji kwa kujiuliza maswali mbona wote niliwaacha wazima, nani kafariki?
Nilimchukua mdogo wangu na kumuuliza kimetokea nini ndipo aliniambia kua mdogo wetu wa mwisho katekwa na mtekaji kapiga simu anahitaji atumiwe fedha ili amwache huru na anatishia kua asipo tumiwa fedha atauawa.
Basi mzee pamoja nami tulikwenda kutoa taarifa polisi na kulipoti namba hiyo japo tulipewa jibu ambalo kwa mda huo lilituvunja moyo baada ya kuambiwa kua hiyo mamba tayari imesha ripotiwa hapo kituoni na imehusika kufanya matukio makubwa sana ya utekaji nyara watoto wadogo wa kike wenye umli chini ya miaka 13 na kuomba fedha kwa wazazi na kisha anawabaka na kuwaachia anapo tumiwa fedha.
Askali waliahidi kufanya jitihada ya kumsaka na kumkamata kwa za maeneo walio kua wakipelekwa watoto walio tekwa. Mida ya SAA sita usiku ndipo nilipigiwa simu kwenda polisi kuwa tayari wamemkamata mtu mmoja alie kua pangoni amelala na mtoto nikaambiwa kufanya utambuzi kama kweli ni mdogo wangu ndipo nilienda nakumtambua alikua yeye na mtuhumiwa pia alikamatwa,
Katika maelezo yake