Pondamali aondoke na Maximo wake

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,144
Reaction score
38,541
Huyu coach mpya. Asiache kabisa uchafu wa maximo kila aliekuwa nae aendenae kama wanaipenda Yanga
 
Plujm Na Mkwasa Ndiyo Makocha Wapya Yanga Huku Maximo, Leiva Na Emerson OUT Lakini Hata Akina Salvatory Edward Na Shedrack Nsajigwa Nao Wameenguliwa Na Sasa Watakuwa Makocha Wakuu Wa Kikosi Cha PILI Cha MALOFA na MAPOPOMA Yanga. Pdidy Upo Hapo?
 
Unakunywa savannah kwenye simu nikurushie fastaa hii ndiooo Yanga
 
kuna msemo kuwa ukitaka kumfukuza kichaa mfukuze na makopo yake
 
Asa wale washabiki walioenda airport kumpokea Maximo kama mfalme alipokuja watarudishiwa nauli yao au..? Au ndo mmeshawafanya mashabiki wenu mapopogo..?
 
Hii ni ajenda ya Pondamali dhidi ya Maximo kwa manufaa ya kipa Kaseja.
 
Kaona dili lakasejakucheza limebuma kakinukisha yaani kimaslahimaslahhi kilammoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…