Ponda aigharimu Serikali milioni 10/-

Ponda aigharimu Serikali milioni 10/-

Hivi hizo gharama za kutumia helicopter kwa dk45 mnazipimaje ndugu zangu watanzania hadi kufikia $3000?
kale ka msemo "wajinga ndio waliwao/wanaoliwa" kasije kakawa kana apply hapa.
 
kwa ufisadi wa serikali ya ccm ukifuatilia mahesabu kwa makini utakuta gharama iliyotumika ni nusu ya hizo pesa nusu nyingine itakuwa imeingia mifukoni mwa watu, maana panapokuwa na suala la pesa viongozi wa nchi hii awacheki na kima
 
Hivi hizo gharama za kutumia helicopter kwa dk45 mnazipimaje ndugu zangu watanzania hadi kufikia $3000?
kale ka msemo "wajinga ndio waliwao/wanaoliwa" kasije kakawa kana apply hapa.

Hapo umenena
 
Kenya mbali na gharama nyingine, walitumia $ 600,000 kukodisha ndege iliyomrudisha Sheikh Abdullah Faisal kwao Jamaica!...hivyo ndivyo mfumo kristo unavyofanya kazi.

Akili ya panzi
 
Gharama hiyo ni ndogo sana ili kuhakikisha haki inatendeka na nchi inakuwa salama.
 
Serikali yetu inaangaika sana,,,,kwanini hizo pesa wasiwaboreshee makazi hao police? Maana hata mrema alisema wanakaa kwenye vibanda vya bati ambavyo hata ukimuweka nguruwe hazai,,,serikali ijipange,,jeshi letu lina washauri wabaya

Serikali imechoka,Imeajiri watumishi wengi waliofoji vyeti hata utrendaji wao ni kisanii,kibabaishaji,Siamini kabisa kama pPonda ni threat kubwa zaidi wa wauzaji Madawa ya kulevya,sitaki kujua Ponda ni Hatari kwa Uchimi wa Nchi kama walenaouwa na kutorosha meno na tembo,Sipendi kusadiki kuwa Ponda ni hatari zaidi ya Mafisadi walioifikisha nchi hapa na kujitajirisha wao.leo wanapita na kutoa misaada makanisani mamilioni ,siamini kama Ponda ni zaidi ya watuhumiwa waliomuua Mwangosi Nyololo,WALOPUA KIJANA Morogoro,kama vijana wa chadema walihusishwa na walomwagia mtu tindikari Tabora sishangai kusikia Ponda anahusishwa na Tindikali Zanznibar hii ni kazi ya kuajiri watumishi wasionasifa,Hivi hata kama hujui kazi ya kipepelezi juu ya madawa ya kulevya kwanini tusiwashike mateja tuanze nao wanapata wapi madawa,Haitaji Degeree kujua hilo..
 
Kweli CDM kiboko, kwani kila kitu SI unit ni CDM. Hivi mnpokimbilia kuona kuwa CDM ilitumia gharama kubwa mmejiuliza kwanza haya?
1. Hivi ule msafara wa magari ulikouwa unatumiwa na JK, ukijumlisha gharamna ya mafuta na p/diem za watu wote aliokuwa anafuatana nao mnajua gharama yake?
2. Je mnajua kwamba upande wa manunuzi, watumishi walio wengi wa Serikali na idara zake wanapandisha gharama? usije shangaa, helicopter kama hiyo CDM wanaweza kuirusha Dar to Moro, kwa gharama huenda nusu ya hiyo.
3. Suala kama la Ponda kusafirishwa kwa helicopter au ilivyotokea kwa Kileo kusafirishwa kwenda Tabora kwa helicopter ni mwendelezo wa matumizi yasiyo ya lazima. Haya mambo kama ya Ponda yasingefikia hapa kama si udhaifu wa Serikali

Mkuu Noboka - hapo kwenye rangi nyekundu ndio umemaliza habari yote. CDM wanaweza mimi naamini kutumia theluthi moja tu ya gharama hizo.
 
Kenya mbali na gharama nyingine, walitumia $ 600,000 kukodisha ndege iliyomrudisha Sheikh Abdullah Faisal kwao Jamaica!...hivyo ndivyo mfumo kristo unavyofanya kazi.

Mfumo kristo kweli kweli

Rais, Makamu wa Rais, Jaji Mkuu, Mkuu wa Usalama wa Taifa (Ndugu yake Jaji Mkuu), IGP - wote hao waislam katika mfumo kristo. You gota cry to laugh!
 
Mimi nataka hii intelijensia kwanini isifanye kazi ya kuwakamata vigogo wa sembe
 
Duh kama helicopter garama yake ni kubwa hivyo dakika 45 tu ni milioni 5 basi CDM watakua wako fiti sana kifedha manake hiyo helicopter wakati wa campain waliirusha sana let say 12hrs *30days *10,682,031=3,845,531,160 yaani kwa mwezi mmoja CDM walikua wanatumia 3.8billions aisee sasa CHADEMA itabidi mbadilishe mtindo wa campain hiyo hela mnayotumia kwa kurusha helicopter katika campain muwapelekee maendeleo vijijini kwa kujenga visima kuwaletea maji wananchi watawapeni kura tu badala ya kuchoma hela angani muwe mkitumia magari

Hayo mahesabu ya kimatumizi ya kimagamba, jiulize hiyo helkopta inatunza wapi mafuta ya 10 million?
Only magamba can answer this.
 
Kenya mbali na gharama nyingine, walitumia $ 600,000 kukodisha ndege iliyomrudisha Sheikh Abdullah Faisal kwao Jamaica!...hivyo ndivyo mfumo kristo unavyofanya kazi.

unayoyaongea mbona hayana uhusiano, umeanza vizuri unamalizia na udini tena, tumewachoka nyie wachochezi, hamuwezi kumaliza sentensi bila kuchomeka concept ya udini?! - kumbuka usemi usemao "an idle mind is a devils workshop"
 
Khaa!! Nyie vipi? Kwenye mambo ya sheria na siasa hakuna mambo ya cost analysis. Mtu anaweza kuiba kuku Mwanza lakini akikamatiwa Mtwara basi serikali inamsafirisha hadi Mwanza akijibu kesi yake ya kuku. Au mnajifanya hamjui hayo? Kulaumulaumu tu mifumo mmeijenga wenyewe. :bored:
 
Duh kama helicopter garama yake ni kubwa hivyo dakika 45 tu ni milioni 5 basi CDM watakua wako fiti sana kifedha manake hiyo helicopter wakati wa campain waliirusha sana let say 12hrs *30days *10,682,031=3,845,531,160 yaani kwa mwezi mmoja CDM walikua wanatumia 3.8billions aisee sasa CHADEMA itabidi mbadilishe mtindo wa campain hiyo hela mnayotumia kwa kurusha helicopter katika campain muwapelekee maendeleo vijijini kwa kujenga visima kuwaletea maji wananchi watawapeni kura tu badala ya kuchoma hela angani muwe mkitumia magari

kweli mkuu!
 
Serikali imechoka,Imeajiri watumishi wengi waliofoji vyeti hata utrendaji wao ni kisanii,kibabaishaji,Siamini kabisa kama pPonda ni threat kubwa zaidi wa wauzaji Madawa ya kulevya,sitaki kujua Ponda ni Hatari kwa Uchimi wa Nchi kama walenaouwa na kutorosha meno na tembo,Sipendi kusadiki kuwa Ponda ni hatari zaidi ya Mafisadi walioifikisha nchi hapa na kujitajirisha wao.leo wanapita na kutoa misaada makanisani mamilioni ,siamini kama Ponda ni zaidi ya watuhumiwa waliomuua Mwangosi Nyololo,WALOPUA KIJANA Morogoro,kama vijana wa chadema walihusishwa na walomwagia mtu tindikari Tabora sishangai kusikia Ponda anahusishwa na Tindikali Zanznibar hii ni kazi ya kuajiri watumishi wasionasifa,Hivi hata kama hujui kazi ya kipepelezi juu ya madawa ya kulevya kwanini tusiwashike mateja tuanze nao wanapata wapi madawa,Haitaji Degeree kujua hilo..

Mateja wa cku hizi wanaalikwa magogoni kula bata.
 
Kuna mambo mengi ya kufanya na hizo pesa kwani wangempandisha gari asingefika
 
Back
Top Bottom