Tonykp JF-Expert Member Joined Dec 18, 2012 Posts 1,642 Reaction score 680 Jan 9, 2013 #21 King'asti said: ndo unavyojifariji kuilea nafsi yako ikupotoshayo? Shauri yako! Click to expand... Naishi nipendavyo
King'asti said: ndo unavyojifariji kuilea nafsi yako ikupotoshayo? Shauri yako! Click to expand... Naishi nipendavyo
Arabela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 3,127 Reaction score 2,227 Jan 9, 2013 #22 Erickb52 said: Mi nimefanikiwa kuacha Siku hizi ni mwendo wa Fanta tu. Click to expand... ndo maana me like you
Erickb52 said: Mi nimefanikiwa kuacha Siku hizi ni mwendo wa Fanta tu. Click to expand... ndo maana me like you
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Jan 9, 2013 #23 stevoh said: tungo tata Click to expand... stevoh tungo tata kivipi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Tonykp JF-Expert Member Joined Dec 18, 2012 Posts 1,642 Reaction score 680 Jan 9, 2013 #24 Erickb52 said: stevoh tungo tata kivipi Click to expand... Eti umeacha ndofu? ??????????????????? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Jan 9, 2013 #25 Arabela said: ndo maana me like you Click to expand... Umeona eeeh ile mikitu ni adhabu sana Arabela haina faida Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arabela said: ndo maana me like you Click to expand... Umeona eeeh ile mikitu ni adhabu sana Arabela haina faida
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Jan 9, 2013 #26 Tonykp said: Eti umeacha ndofu? ??????????????????? Click to expand... Kwani ushawahi niona nakunywa Tonykp ? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Tonykp said: Eti umeacha ndofu? ??????????????????? Click to expand... Kwani ushawahi niona nakunywa Tonykp ?
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Jan 9, 2013 #27 King'asti said: umeamua kunitishia eeh? Kwa hiyo nisinywe nyeusi? Click to expand... We ni mwafrica kwanini usipende vyeusi?
King'asti said: umeamua kunitishia eeh? Kwa hiyo nisinywe nyeusi? Click to expand... We ni mwafrica kwanini usipende vyeusi?
Tonykp JF-Expert Member Joined Dec 18, 2012 Posts 1,642 Reaction score 680 Jan 9, 2013 #28 Erickb52 said: Kwani ushawahi niona nakunywa Tonykp ? Click to expand... Hapana ila udaku tu!"" Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arabela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 3,127 Reaction score 2,227 Jan 9, 2013 #29 Erickb52 said: Umeona eeeh ile mikitu ni adhabu sana Arabela haina faida Click to expand... thats why nkakushauri uache Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Erickb52 said: Umeona eeeh ile mikitu ni adhabu sana Arabela haina faida Click to expand... thats why nkakushauri uache
stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,107 Jan 9, 2013 #30 Erickb52 said: stevoh tungo tata kivipi Click to expand... nina wasiwas ni jina la utani la aina flani ya pombe. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Erickb52 said: stevoh tungo tata kivipi Click to expand... nina wasiwas ni jina la utani la aina flani ya pombe.
KARIA JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 717 Reaction score 473 Jan 9, 2013 #31 Erickb52 said: Mi nimefanikiwa kuacha Siku hizi ni mwendo wa Fanta tu. Click to expand... Jitahidi unywe maji badala ya soda Erickb52! Soda noma mno! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Erickb52 said: Mi nimefanikiwa kuacha Siku hizi ni mwendo wa Fanta tu. Click to expand... Jitahidi unywe maji badala ya soda Erickb52! Soda noma mno!
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Jan 9, 2013 #32 KARIA said: Jitahidi unywe maji badala ya soda Erickb52! Soda noma mno! Click to expand... Dah nalo wazo jipya KARIA Poa ntakomaa coz maji ni uhai....! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KARIA said: Jitahidi unywe maji badala ya soda Erickb52! Soda noma mno! Click to expand... Dah nalo wazo jipya KARIA Poa ntakomaa coz maji ni uhai....!