Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Naacha pombe ninywe mbege tuuuuuu!!!!!!!
Kuna mmoja aliachishwa mbege na mkewe baada ya kukuta vitoto vya pacha vya siku mbili wakati anaimalizia mbege yake... Alitapika na akawa akiiona mbege tu, anaanza kutapika