Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
swali zuri sana ngoja nifikirie kidogo!!MziziMkavu wameingiaje hao cobra wakati mdomo wa chupa ni mdogo sana?
swali zuri sana ngoja nifikirie kidogo!!
Mhhh..anatolewa utumbo wote..yaani the snake is gutted...kwahio ni kama anabakia ngozi tu ya juu inakuwa rahisi kumuingiza kwenye chupa,halafu nyoka wenyewe wadogowadogo!!I stand to be corrected!!Hahaahahahaha alafu nipe jibu lol.....theory gani imetumika hapo lol
Mhhh..anatolewa utumbo wote..yaani the snake is gutted...kwahio ni kama anabakia ngozi tu ya juu inakuwa rahisi kumuingiza kwenye chupa,halafu nyoka wenyewe wadogowadogo!!I stand to be corrected!!
Tazama bana aisee nyoka ana roho ngumu katolewa utumbo wote lakini bado anatapatapa!!!!Sifungui hiyo video ng'o lol.
Tazama bana aisee nyoka ana roho ngumu katolewa utumbo wote lakini bado anatapatapa!!!!
Mh pole bi shost mbona ndoto zako zote za nyoka...Nakumbuka last time ulisema pia ulimuota ukaamka kwenda kusali alfajiri!!INORDER TO CONCUR YOUR FEAR YOU HAVE TO FACE IT!!Itabidi maalim MziziMkavu akusomee duaa!!Siwezi mimi49..leo ndio aloniamsha nimeota amenibana miguuni..
Mh pole bi shost mbona ndoto zako zote za nyoka...Nakumbuka last time ulisema pia ulimuota ukaamka kwenda kusali alfajiri!!INORDER TO CONCUR YOUR FEAR YOU HAVE TO FACE IT!!Itabidi maalim MziziMkavu akusomee duaa!!