Pombe tunazokunywa jamanii! Zitatutoa roho. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pombe tunazokunywa jamanii! Zitatutoa roho.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kwamtoro, Jan 27, 2011.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Jumatatu asubuhi nimefika ofisini, punde nikaletewa bahasha kutoka kwa secretary. Bila kuchelewa, nikaifungua ili nisome kilichopo ndani. Kutahamakii Salary increment, nikafurahi kimtindo, nikasign, coppy nikarudisha. [/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot]Baada ya kutafakari, nikaona hii siku isiishe hivi hivi. Nikaona nikiwapigia washikaji wanaofanya kazi, watanizungua. Ikanibidi niwatafute washikaji majobless ili furaha yangu itimie. Nikaanza namshikaji wangu wa Upanga aka TBL, kisha nikampigia wa Kigamboni, keko pamoja na magomeni. Nikawaambia kabisa ruhusa kuja na totoziiii. Mida ya saa 11 jioni tukakutana pande za keko, kwa bahati nzuri washikaji wote walikuja single. Kwa utashi wangu nikafaamu mwezi dume January, ukiwa na mtoto alafu kilaji kinalipwa na njemba, unaweza mkuta mwana sio wako mwisho wa siku.[/FONT]

  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot]Round zikaanza, ya kwanza, pili, tatu, nne, tano sijui zilifika ngapi , sifahamu. Baada ya mimi kulipa bill, nilijichenga nikala kona huyo kimyakimya, huwa atuagi kwa wanaojua. Mungu sio athumani nikafika Stand ya bus. Mara mbagala mwenge ya mwisho hiyo, nikajichoma ndani kuelekea mbezi tangi bovu. Kuingia tu nikaanza kuporomosha matusi kutoka katika kamusi yangu ya tilalila. Nilikuwa naona dunia yote yangu. Mara konda huyo amekuja kudai hela yake, huwa kwa kawaida atuna ubishi kulipa, ile kujiseach pesa mfukoni, holaa, mifuko yote holaa! Daa! Nikakukumbuka nimesahau kuchukua change kwa waiter. Punde, valangati kali likazuka kati yangu na konda. [/FONT]

  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot]Baadae kidogo valangati likawa limeisha, kufika magomeni naitafuta mkwajuni, usingizi huo. Punde nilisikia kitu kama chuma kimenipiga kwenye paji la uso, kumbe konda kaninyuka ngumi ya kisawasa, akili yangu ikanituma gari imepata ajali. Katika yali ya kutaka kusave, kuruka dirishani, nilijibamiza kwenye uzio wa kati ya kiti cha dereva na abiria. Nilikaa katika siti ya nyuma ya dereva, wanao fahamu ma DCM wanajuja palivyo. Nikapasuka vibaya juu ya shavu karibu na jicho, kutahamaki shati limelowa damu balaa, kufika mkwajuni walinishusha kama wananipa huduma ya kwanza, punde sikuliona gari tena. Bahati nzuru nilikuwa aliwatani kidogo maeneo hayo ya mkwajuni na Moscow.
  [/FONT]

  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot]Jamaa moja aliniona akanipeleka kwa mshikaji wangu Moscow, haduma ya kwanza kupewa, waliniwekea spirit ili damu ikome kutoka, Walahii pombe ilikata stimu. Jumanne asubuhi niliamka na maumivu makali mno, sura imevimba, nikapelekwa hospital, nikapewa uduma na kupumzishwa. Nikatoa taharifa kwa ndugu na jamaa na marafiki kuwa nimepata ajali ya gari na marafiki zangu usiku. Kwa sasa nipo nyumbani, naugulia ongezeko la mshahara.[/FONT]

  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot]Pombe, pombe, Why me?[/FONT]
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  ndo umepondeka sura hivyo??
  pole
   
 3. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Pole sana kwamtoro. Usijali, ajali kazini
   
 4. Mr Chabo

  Mr Chabo Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha yangu tena, krisimas nililala mbele ya nyumba yangu. Asubuhi aibu
   
 5. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dah Pole sana, Ona sasa umepata cha kusimulia............
  :laugh:
   
 6. semango

  semango JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  daah!kama hii story ni ya kweli then usije ukarudia tena.wanywaji wazoefu huwa hatunywi viwanja vya mbali tukiwa alone, bodyguard muhimu mkuu.wapenda sifa huwa wanapenda sana kuzingua walevi so unaweza kuumia kirahisi sana ukiwa umelewa na uko pekeyako.otherwise ugua pole
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sorry, ulipasuka chini ya jicho au macho yalihama kabisa kama unavoonekana??
   
 8. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  1+1=2 lakini kwa walevi huweka 1.
  Utakuta jamaa siku nyingine atarudia kulewa kama hajui nini madhara yake.
  Halafu unaleta hiyo habari humu tuijadili.
  Ugua pole!
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Punguza mpwa!
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unajisifia au unajuta?
   
 11. E

  Exav Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  This is what my friend sent me:

  We do not choose to be born. We do not choose our parents. We do not choose our historical epoch, the country of our birth, or the immediate circumstances of our upbringing. We do not, most of us, choose to die; nor do we choose the time and conditions of our death. But within this realm of choicelessness, we do choose how to live.
   
 12. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Acha pombe mrudie Mungu wako. Ila huwa nasikia wanasema pombe si chai au??
  Halafu wewe unaonyesha si mzoefu
   
 13. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Siku ukitaka kunywa jaribu kuwa na tahadhari au kunywa mitaa ya nyumbani maana inaonekana huziwezi
   
 14. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hahahahaha..Umenikumbusha mbali sana kipindi nilipokuwa mwanachama wa TBL natoka ubungo nazifata popote pale nitapopigiwa simu +kitimoto..ukiniambia twende kwenye mambo ya msingi nakataa..lakini TBL nakwenda..usiku vituko home....hahahaha..

  Kwa wale wako kwenye nchi zilizopitiliza unakwenda.., naked dance club..lol you become crazy for fun.HAAHAHA

  Now i thank God i'm saved

  SOLUTION:STOP IT.uache kwa kumaanisha na washikaji wambie umeacha,,utaweza.next next time you will die..na tutakumiss JF
   
 15. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280


  Najuta, nipe pole
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  pole sana ndugu

  samahani pia nina ombi kidogo,unaweza badili avata hiyo?...sio lazima
   
 17. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280

  Kwa nini? Ohh! nimekuelewa, siyo lazima
   
 18. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Pombe gani hizo? au ulilogwa!!
   
 19. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  5408309.jpg pomb 4.jpg pombe.jpg pombe6.jpg pombe 3.jpg pombe 4444.jpg pombe (2).jpg pombe (3).jpg wanawake_pombe (1).jpg wanawake_pombe (2).jpg [​IMG]
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahaaah, we sio mzoefu.....
   
Loading...