Pombe!!pombe!!pombe!!

Pombe!!pombe!!pombe!!

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
409
attachment.php


pombee.JPG
jamani ijumaa ndiyo hiyo imefika,wengine ndio wakati wa kwenda kupiga tungi!!ila tunywe kwa utaratibu ili tusijiaibishe mbele za wadogo zetu na hata watoto na wake zetu.
 
Pombe zinahusiana nini na siasa, hii iende Jukwaa la walevi. Mods wa JF sijui huwa wanalala usiku?
 
View attachment 32974
jamani ijumaa ndiyo hiyo imefika,wengine ndio wakati wa kwenda kupiga tungi!!ila tunywe kwa utaratibu ili tusijiaibishe mbele za wadogo zetu na hata watoto na wake zetu.
Duuuuuu! huyu Noela sijui kaibukia wapi tena na kutuletea mambo ya ulevi huku wakati watu wanatafakari mambo ya siasa. namshauri apeleke ulevi huu kwenye jukwaa la walevi kwani hapa sio mahali pake. au kama katumwa na magamba ili kudivet mind za great thinkers kwa kudhani wote tumelala basi amechemka,tupo makini 24hrs........
 
Mods hii nini sasa? Nilidhani kuna mwanasiasa mmoja amelewa chakari na kumulikwa kumbe tunaasana! itoeni hapa hii
 
Mods: Unamaanisha walevi sisi JF members au wanasiasa... I am sure hii post umeiacha hapa purposely
 
Kuna uhusiana mkubwa kati ya pombe na politics! Kwani ushahid unaonyesha wanasiasa walevi ndio mabingwa wa kukurupuka na kufanya maamuzi fyongo fyongo! Hata zile mbonji za wabunge wengi bungeni zasababishwa na mipombe! Wenyewe si mnashuhudia madumbwanga ya ngeleja?? Pombe hizo
 
Back
Top Bottom