Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,574
- 3,037
Mwanzoni unapoanza kutumia pombe na kutoka na wanawake inaonekana ni tabia kama ya kujipooza mwili na kustarehe lakini baadaye unapoamua kuoa na kutulia biIla kutumia pombe au kutoka na wanawake wengi unagundua huwezi kuacha.
Akili na roho Inataka lakini mwili hautaki unagoma. Ndiyo pale watu wanapoamua kuhalalalisha uzinzi uonekane ni wa kawaida kwenye maisha haya.
Nachokiri ni kwamba Bora Tena ya pombe, kuendekeza wanawake ndiyo kunaweza kukufanya uwe maskini wa kutupwa. Mshahara utapata, biashara utafanya lakini pesa zote unazopata zitaishia kulala na kila aina ya wanawake.
Watu wengi wamekuwa watumwa wa ngono na hawajiwezi. Roho ya kikahaba imewajaa wanawake wengi na roho ya tamaa ya mapenzi imewajaa wanaume wengi.
Masaa 24 mtu anawaza ngono tu. Kwahiyo akipata pesa anaishia kuitumia kuifanyia ngono. Muda wote sehemu za Siri zinamuwaka moto Kila mwanamke au mwanaume mtu anamuona anawaza ngono kuhusu yeye.
Matokeo yake hutakuja wekeza chochote Cha maana. Nachosihi vijana ni Bora muoe tu kuliko kufanya mapenzi ovyo ovyo na Kila mwanamke unayemtamani.