Ongeza moja...Hivi pombe inamahusiano gani na pesa? Mbona nikiacha kunywa pombe pesa huwa inanikimbia. Huwa nafulia mpaka kufikia hatua mpaka kukosa hela ya kula. Chaajabu nikianza kugonga c/lite milango ya fedha hugunguka.
Ndugu zangu kinachosababisha ni nini?
Utalipa? Halafu bado mapema mida hiiOngeza moja...
Inawezekana ikawa sababuKwa kuwa mipango ya fedha unaifanyia kwenye "vikao" vya pombe! usiache endelea kunywa my ndugu, pombe ni "uhai" kunywa pombe achana na kuywa maji
Awamu hii nikajifanya jeuri kwamba hata nifulie vipi naacha bia... Weeee kilichonipata ni hatari ikabidi nimpigie mshikaji anitoe japo safari tano. Nilivyo gonga tu hizo bia aaaaah michongo ya pesa si ikafunguka bwana. Nimekoma sirudii kuacha biaPombe inakupa akili na madili ya kupata pesa. Kunywa Pombe Okoa Maji.