wakati wa ujana wangu,nilikamata valuu,nikamix na redbull,expecting kwamba mchuchu atakuja.Mara hakutokea,alitaitiwa kwao.
Vip,are u interested to know what happened thereafter?
hahahah Sina cha kuongeza hahaha tetetete
Kuna kitu nyingine inaitwa Zed, hii ni kiboko kuliko valuur.
kwani wanawake hawanywi valeur?True mkuu, ni weli wanaipatapata, na miharufu ya pombe pia mazee!
Kwa nini ukimbilie huko kwenye mijipombe? lazima utakuwa una mapungufu, halafu kero anayoipata mwenzio kwa mijiharufu ya pombe wewe hufahamu tu naomba FL1 au VC wathibitishe hapa. Kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda sana kumtisha demu wake kwamba leo umekwisha ukija hurudi kwenu si unajua majigambo ya sisi wanaume, akilini kwa mwanaume anadhani akinywa konyagi au hizo mnazozitaja demu akija ni kudo kwa bidii na kuchelewa kufika kileleni ndo unakuwa umemtesa/umemridhisha demu au wewe ndo rijali au wewe ndo fundi wa tendo hilo KUMBE AKILINI KWA MWANAMKE anawaza leo jamaa nikifika ataanza na kwa romance mara kashika hapa mara pale, kachezea hapa, kageuza hivi kanyonya hiki eeenh caress ya taratiiiibu maneno matamu, compliments kwa sana eeenh nguao zinatolewa taratiiibuu moja moja mpaka mtoto wa watu anapotea kwenye mahaba anakuwa yupo dunia nyingine sasa hapo mambo mengine yanaendelea KUMBE huyo jamaa yeye demu akija akishamsaula/wakisaula kwa sababu ya drive ya MAPOMBE yake anachojua ni penetration tuuu na bidii kwa sana tena na akimaliza basi anakoroma tuuuuuu hahahaha WENZETU HAWA JAMANI WANAHITAJI tender care na si mijinguvu na mijipombe tunayotambia hapa. kwangu pombe inaniharibia stimu kwa sababu nimeshazoe ku do kwa nafasi ya namna hii. huwa mwenza wangu haishi kuuomba tena na tena.

hapa ta mie sina la kuongea
Hii mi sijui kama ni kweli,coz nimeshajaribu tumia lakini mashine inasimama nikitaka ku doo inalala,yaani ninamawazo ambayo sijui nitayamalizaje,i cant overcome this situation!!
mmh,ni kweli au?maana kuna siku nilikatafuna kadem kangu flani hapo bongo na nilikua nakula valeur siku hiyo,basi ikawa kila kakija home kananiletea tu valeur tuwili kabla ya gemu.nilikua sielewi,ila hayo mavaleur na zed na sijui nini noma mazee viwango zero na unaua kongosho na mapafu ini n.k,kula jack daniel mixer amarula utapata habari yake,mi siku hizi napiga gemu mkaaavu bwii badaye na na enjoy sana tuu
Lol! Mkuu angalia usije ukatumbukia kwenye gongo.
Gongo sasa ndo usiseme! viagra chini!!! Teh teh teh
acha ushamba mkuu amarula 2shot jack daniel 2shot,same glass with ice*2 or 3,kisha nenda kale mzigo.hakuna kulegea wala nini unaweza kuitandika mpaka jogoo la kwanza na hamna machungu zaidi ya raha tu jaribu kisha utanipa jibuAmarula wanatumia mashosti. Angalia utalegea siku moja mkuu.
acha ushamba mkuu amarula 2shot jack daniel 2shot,same glass with ice*2 or 3,kisha nenda kale mzigo.hakuna kulegea wala nini unaweza kuitandika mpaka jogoo la kwanza na hamna machungu zaidi ya raha tu jaribu kisha utanipa jibu