Pombe inanitesa mwenzenu!

Pole sana.
Kama ni mkristo nenda kwenye makanisa ya kiroho, yatakusaidia kuacha. Lakini pia kupanga ni kuchagua, ukiamua kuacha unaweza
jana pombe ingenifanya nikose issue ya maana sana. nilienda bar kugonga supu nitoe wenge nikaanza kula vyombo castle lager kubwa nafika ya tatu jamaa ananipigia niende ofisini faster. nikamwambia nipo around kumbe nipo mbali kwelikweli. nikapanda gari nafika anataka kutoka . nilijisikia aibu na kujiona sipo serious hata na mambo yangu mwenyewe. pombe we pombe sio nzuri inaharibu mambo mengi sana. kuchelewa kufika maeneo muhimu na kunuka pombe asubuhi, kuwa dis organzed nk
 
Mkuu ukipata tatizo LA figo mbona utaacha kwa lazima
 
kama umeamua kuiacha amini kuwa kwenye ulimwengu usioonekana teyari jambo hilo limetimia....kama tutakua hai...mwakani mwezi kama huu utakuja hapa kutoa ushuhuda...utaacha pombe kwa njia ya ajabu ambayo ata wewe utashindwa kuielezea hapo baadaye....Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
kama unautaji wa kuacha kabisa njoo PM
 
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…