Pombe inanitesa mwenzenu!

Pombe isikie tu!! Ikiamua kukungangania ni noma! Inakuwa kama ina akili,ukisema unaacha,ukajitahidi kutulia siku mbili/tatu,spidi utakayorudi nayo ni ya hatari!
Yan cjui inanini asee!
 
Ndio maana wazungu wakatengeneza kitu kinaitwa "rehabilitation centers" au unaweza kuziita Rehab watu kama wakina chriss brown wamehaki kupelekwa huko. kama kuna dawa ya kunywa ukaweza kuacha wengi wengekunywa hio. Kaka si kazi rahisi kuacha kaka, unaweza kusema sasa nawacha lakini si rahisi kihivyo, ndo maana unakuta wengine wakishapiga vyombo wanalia tuu. Si rahisi hata kidogo.
 
Diplomacy is judicious use of CH3OH. Keep on walking.
 
Umri unaruhusu pombeka mkuu januari hadi disemba. Mimi huwa nalewa mwaka mzima,mchana naweka silence.
Asee nami nilianza mwaka mpya! Mwaka unaisha sasa cna nlichokifanya
 
..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…