kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,658
Kwa uandishi huo,hivi ulikua unakimbilia wapi?dunian kila mtu anakilevi chake,asee mm pombe ndo kila ktu,kumaliza kreti 2 n chaap,zaman ilikuwa mm na wanawake wanawake na mm,nkaja kufumaniwa nko na mtoto wa binam yangu nkaacha.
K VANT FOR REAL
CC.ID mpya
kingkongtz
2020boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa kashamaliza kret la kwanzaKwa uandishi huo,hivi ulikua unakimbilia wapi?
Siyo kweli..
Ukinywa pombe ni rahisi sana kushuka chini na kutamani wanawake, lakini ukiwa na wanawake huwezi kutamani pombeSiyo kweli..
Always Mimi nipo kinyume chake!Ukinywa pombe ni rahisi sana kushuka chini na kutamani wanawake, lakini ukiwa na wanawake huwezi kutamani pombe
Sent using Infinix S3
Nafikiri ni Tabia ya mtu tu. Mimi binafsi ni mlevi mzuri tu lakini napokunywa nakuwa sina tamaa na wanawake kabisa tofauti na nikiwa sijalewa.Ukinywa pombe ni rahisi sana kushuka chini na kutamani wanawake, lakini ukiwa na wanawake huwezi kutamani pombe
Sent using Infinix S3