luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,985
Hizi mbio nadhani kuna mtu anakufukuza.Ni mesikia ktk PB ya clouds fm sikunya leo katika kusoma vichwa vya habarinvyq magazeti
Jeshi la Polisi Jijin Dar es salaam limefanikiwa kuzima party ya ufuksa ambayo ilipangwa kufanyika mbezi beach. Katika party iyo kiingilio laki na nusu una pata partner mmoja wa ku shiriki nae ufuksa
Kwa hatua hii ilipo fikia hakika hali ni mbaya kwa baadhi ya vijana kiimani na hata ki fikra za ulimwengu
Ni heading tu ndio ili chapia simuYataka moyo kuelewa huu mwandiko ni hivyo tu habari yenyewe inahusu bata.
Ungefanyaje jombaa?Bahati yako tu ni hivyo watu hawa onani humu ..
Moja ya Jukumu la Serikali ni Kuangalia Raia wake.kuna sehemu wanavunja sheria ya nchi???
Sipatii picha ngumi zake[emoji847]Bahati yako tu ni hivyo watu hawa onani humu ..
nani kawapima??Moja ya Jukumu la Serikali ni Kuangalia Raia wake.
Nawaunga mkono Polisi kwa ili.Yawezekana ilikuwa Plan za watu Kuongeza spread Ya HIV Tanzania.
Atuwezi kufahamu May Be Uchunguzi unaonyesha hao partners Wote Ni Positive.
Kwa namna yoyote Ni plan Maalum.
Sure. kuna mambo mengi Serikali na Jeshi la Polisi wangejifunzawangesubiri mpaka siku ya tukio ..wakawaone hao wana..na kujua hilo danguro na vinara wake....
Ndio Sasa walitakiwa kuwa Na vibali na Taarifa Za Hao Wahusika watakao Kuwa Katika iyo part.Kinyume Cha Hapo..ni sawa Tu Part Ikifungiwa...nani kawapima??
Orgy FantasyWatu wanatafuta kila mbinu ya kutengeneza pesa ,wabongo ukiwatangazia party ya ngono utawakamata wako radhi wateketeze hiyo laki na nusu kuopoa malaya halafu wiki nzima ashindie ndizi bokoboko na maji ya dawasco.