I just visited TRA website.
It seems that they are doing a good job trying to find out from people they serve.
If you have ever dealed thit TRA please take some few min to cast your vote.
Yani acha tu Sir. Burn hao jamaa ni was**nzi sana,ningependa waziri husika awafundishe adabu hao matop wa hapo,kodi kibao hazina kichwa wala miguu,kwenye katiba mpya sie tunaolipa kwa paye tuingizwe kwenye PIN ili tuweze kupata unafuu tukiagiza magari/vitu nje coz ni wachangiaji wakubwa wa uchumi.
Nimetoka leo TRA; kwenda kuchukua tu road license follen huku na kule; utafikiria enzi zile za kuunga follen za sukari; shame on them. Kwanini wasitoe huduma kwa ufanisi? masaa mawili kwenye foleni? Wakati wanakusanya kodi za kutisha zinazoingia mifukoni mwao. kwa nini wasiajiri watendaji wa kutosha? Nadhani tatizo kubwa ni lile la kuwekana humo. No efficiency at all.
Sasa magari tunayonunua nchini Zanzibar na yamelipiwa ishuru TRA, yakifika TRA ya hapa Tanzania yanapigwa ushuru mkubwa kuliko tunayoagiza nchini Japan. Mbona tunayonunua DSM tupeleka Mbeya hatulipii ushuru?