Poll:Dr.Willbraod Slaa vs Benard Membe

JK kafanya kosa kubwaaaaaaaa la kuua CCM... yaani Membe hata 1% ya Dr. Slaa hapati... Lowassa ndio chaguo sahihi...


Dr. Slaaa kila la kheri baba, kura zoooote zakooo
 
Dr slaa ajiandae kuapishwa tu. Huyu ndugu wa karibu na jk hana ubavu wakushindana na ukawa wameliwa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…