Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,574
- 164,454
Ungeweka Dr slaa vs Makongoro
masikini anko Mako hajaingia tano bora???
Je, Tume ya Uchaguzi na Jaji Lubuva yuko tayari na anao uwezo wa kumtangaza mshindi kutoka UKAWA? Lile bao la mkono aliloahidi Nape, Lubuva anao uwezo wa kusema sio bao halali au atatumika kuhalalisha bao haramu kuwa halali?
Vv
Kikwete na CC wamefanya KOSA kukata jina la Lowassa na kuacha jina Membe!
Mkutano mkuu wa CCM utafanya KOSA KUBWA kupitisha jina la Membe, kwani Membe atapigiwa kura za chuki na Pro Lowassa, hivyo kuifanya UKAWA kushinda kirahisi sana.
BTW, bado naona kuna mwendelezo wa mwa-CCM ukiwa waziri wa mambo ya nje, then you're a next president of URT