Politics life cycle (siasa ni kama mduara) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Politics life cycle (siasa ni kama mduara)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mutoto Ya Arusha, Feb 20, 2012.

 1. M

  Mutoto Ya Arusha Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Politics life cycle.


  Siasa, siasa siasa. Hakunaga hata siku moja washabiki wa chama fulani walijitokezaga hadharani na kukiri kuwa walikuwa wana support ujinga bila shuruti pale chama kinapokuwa kimeingia msituni.

  Historia inajionyesha, kwa mfano mdogo sana pale wa

  1. Zanzibari walipomwaga damu zao ili cuf iingie madarakani esp viongozi wa cuf, walikufa wengi na wengi ni vilema hata leo.

  Baadaye. Vikao vya cuf na chama tawala vikaanza ikulu mjini z.bar kwa kile maalimu kipindi hicho mfalme wa cuf z.bar na baba lipumba walichokiita ni mwafaka ( sirini)

  2. Raila odinga wa odbm kama sikosei mjini nairobi na baadhi ya members wenzie, walisema kenya haitotawalika, tz tukamtuma papaa mkapa aliyeshikilia mwafaka wa zbar akiongozana na dk mkuu wa nchi bro jk.

  Walipofika kenya kilichofuatia, pamoja na mauaji ya kutisha yaliyosababishwa na uchu wa madaraka in the name of democracy and free election hiki hapa chini kwa z.bara na kenya

  matokeo. Walijulikana wanachotaka ni madaraka, wakakabidhiwa, na leo hii wanakula bata na hutosikia wakilaani chochote kilichosababishaga mauaji huko nyuma siyo kenya wala z.bar.

  Nasema hivi kwakuwa hivi sasa watanzan ia tumebakia kuduwaa tuu, na ninaposema watanzania na baadhi ya wabunge wakiwemo humo humo.


  Vikao vitapigwa, watu watafikia makubaliano wanayoona wao ni sahihi in the name of democracy here in tz ya leo in tha name of katiba mpya, maamuzi yakifikiwa ya wanasiasa sisi tutaitwa kwenye vikao vya hadhara, baada ya matokeo huko bungeni, ikulu na kwingineko, zitatengenezwa speech kuwa tumeshinda tutapiga makofi na kubaki na njaa zetu, na kuitana majina tuyajuayo ya kichama, kila mtu kwa chama chake

  kisha tutaanza upya mzunguko mpya.
   
Loading...