Political Parties and Their Support Bases | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Political Parties and Their Support Bases

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shinto, Dec 22, 2010.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Siku za karibuni hapa Tanzania tumeshuhudia mpatano wa kifikra katika ya taasisi fulani za kidini na baadhi ya vyama vya kisiasa. Mfano ni madai ya katiba mpya au shutuma za ufisadi dhidi ya serikali na kadhalika. Lakini is this a mere coincidence? Jibu ni hapana, kwani kila chama cha siasa lazima kiwe na political base. Mfano chama cha Labour nchini Uingereza base yake ni wafanyakazi waajiriwa, vyama vya Christian Social Union na sister party Christian Democratic Union support base ni Jamii ya kikristo nchini humo. Mifano ni mingi, wengi tumeshuhudia jinsi former president Bush alivyokuwa ana-enjoy support ya evangelicals kule Marekani.

  Je hili lipo Tanzania ila watu ni waoga ku-admit? Au tunaendeleza deceit game?
   
Loading...