Nimekaa maeneo ya mawasiliano tower kwenye corner ya kwenda Chuo naona wapo wanne wanachukua hela kwa watu wenye magari,pikipiki na bajaji wanaopita kwenye service road
sasa ukitaka kuona raha yao pakia kimzigo kwenye gari uone wanavyokufuatilia na ukisimama cha kwanza wanauliza risiti ya moto ukiwa huna watakuuliza unataka kuipangia jamhuri bei gani utatoa...
Hawa ni walevi na Malaya wakubwa sana wanafanya kazi isiyokuwa yao tena wanatishia silaha za moto walizonazo nani kawapa kazi hii wahuni Hawa. Wameshindwa kuzuia uhalifu wa panya road wananyanganya vijipesa vya boda boda. Wengine nimewakuta jana huko vichochoro vya chuo kikuu mlimani wakisimamisha magari na kuyakagua nani kawapa kazi hiyo
IGP wao anataarifa na wale wako chini ya kamanda Kova , jaribu kufanya utafiti wa maisha wanayoishi viongozi wao na rasilimali walizonazo, ndio utajua kwa nini hawakabiliani na uharifu bali wanawafukizia wale wanaojihangaisha kutafuta mlo wa siku.
Usiendeshe chombo cha moto bila kufuata sheria zilizowekwa,kwa usalama wako na watumiaji wengine watakuzingua.na ngumi unaweza pigwa ikibidi mpaka risasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.