Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,451
Watawala hawawezi kukusikia kwa sababu uslama wa Tanzania upo kwa watawala na CCM.Takribani mwezi mmoja uliopita nilienda kigoma wilaya ya kasulu katika kijiji cha kabanga!
Kulitokea tafrani ambapo mwananchi mmoja aliuwawa na wananchi wenye hasira kal(sitalizungumzia hili)!
Baada ya tukio hilo, waliletwa kikosi FFU na askari wa kawaida kurejesha amani!
Wananchi wengi hasa wanaume walikimbilia mashambani kujificha! Na hapo ndipo polisi hao walopoonesha rangi zao halisi!
*Walivamia biashara za watu zilizotelekezwa na kuchukua mali na fedha, walivunja hadi fridge na kubeba vinywaji!
*walivamia nyumba za watu na kupora pesa na simu, kuna rafiki yangu alijificha juu ya paa la nyumba, alishuhudia polisi wakivunja mlango na kupora simu 2 na pesa taslimu sh 300,000!
*walikuwa wanakamata yeyote wanayemuona!Na walipowafikisha kituoni, waliwapiga kabla ya kuwaingiza mahabusu, kuna mzee mmoja alivunjwa mguu kwa kipigo akiwa kituo cha polisi!
Kwanin polisi wanatenda haya????? Kama wao ni wezi, nani wa kulinda mali zetu????
DuhTakribani mwezi mmoja uliopita nilienda kigoma wilaya ya kasulu katika kijiji cha kabanga!
Kulitokea tafrani ambapo mwananchi mmoja aliuwawa na wananchi wenye hasira kal(sitalizungumzia hili)!
Baada ya tukio hilo, waliletwa kikosi FFU na askari wa kawaida kurejesha amani!
Wananchi wengi hasa wanaume walikimbilia mashambani kujificha! Na hapo ndipo polisi hao walopoonesha rangi zao halisi!
*Walivamia biashara za watu zilizotelekezwa na kuchukua mali na fedha, walivunja hadi fridge na kubeba vinywaji!
*walivamia nyumba za watu na kupora pesa na simu, kuna rafiki yangu alijificha juu ya paa la nyumba, alishuhudia polisi wakivunja mlango na kupora simu 2 na pesa taslimu sh 300,000!
*walikuwa wanakamata yeyote wanayemuona!Na walipowafikisha kituoni, waliwapiga kabla ya kuwaingiza mahabusu, kuna mzee mmoja alivunjwa mguu kwa kipigo akiwa kituo cha polisi!
Kwanin polisi wanatenda haya????? Kama wao ni wezi, nani wa kulinda mali zetu????
Elimu sio sababu maprofesa tu wanaiba.Elimu Mkuu.
Mkuu tukio limetokea mchana, jamaa baada ya kuona kipira kinasimama nyumbani Kwake, haraka akarukia kenchi!Ndio hapo akagundua mezani aliacha simu 2 na fedha tsh 300000!hivi mtu akiwa juu ya bati anaweza kushuhudiaje mtu akibeba fedha taslim laki tatu. hapo mkuu chumvi unless huyo jamaa macho yanauwezo mkubwq wa kuzoom.
hapo kama kweli ni uharifu tu na wananchi walioibiwa ulipaswa kuwashauri wqfuate utaratibu. ndio maana huwa tunasikia wanafukuzwa kazi pia.
Hapo sijaridhika ina maana hao mawaziri au maprofeser wanaoiba hawana elimu?Elimu Mkuu.
Wanatumia kalamu mkuu na hawapigi watu na kuwaweka mahabusu na kuwabambikia kesi.Hapo sijaridhika ina maana hao mawaziri au maprofeser wanaoiba hawana elimu?
Vielelezo? Soda na bia kwenye frijiwya mtu ndio kielelezo?Uchochochezi huo, wakati huo wewe ulikuwa wapi? Labda walikuwa wanakusanya vielelezo?
Unatetea ujinga!!?? Yeye ndio alioacha laki tatu kwenye nyumba yake, na aliona wanachukua hizo pesa, pindi aliposhuka juu ya bati na kutokuona pesa zake, unadhani angejua laki tatu kachukua nani kama sio hao polisi walioingia kwake.??hivi mtu akiwa juu ya bati anaweza kushuhudiaje mtu akibeba fedha taslim laki tatu. hapo mkuu chumvi unless huyo jamaa macho yanauwezo mkubwq wa kuzoom.
hapo kama kweli ni uharifu tu na wananchi walioibiwa ulipaswa kuwashauri wqfuate utaratibu. ndio maana huwa tunasikia wanafukuzwa kazi pia.