Amri ipi?Hao wamekiuka amri ya Maha kama, polisi wako sahihi, tena ilibidi wakamatwe
Ya kuzuia shughuli za Chadema nchi nzimaAmri ipi?
Hakuna Amri kama hiyo imetolewa...Ya kuzuia shughuli za Chadema nchi nzima
Si mlisema CHADEMA imejifia chama cha kina Mchengerwa na Abdul [CHAUMMA] ndio chama kikuu cha upinzani ?Hao wamekiuka amri ya Maha kama, polisi wako sahihi, tena ilibidi wakamatwe
Bavicha ni chadema walewale tu,ambao wamezuiliwa kushiriki of katiak shughuli za kisiasa./ Chapa viboko!🧷🧷Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogro leo Julai 20, 2025 limedaiwa kuvunja kongamano la Baraza la Vijacha Chadema (BAVICHA) kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa baraza hilo Taifa, Deogratius Mahinyila.
View attachment 3412155Taarifa kutoka BAVICHA zimesema askari wa kutuliza ghasia walizingira eneo la ukumbi wakiwa na mabomu na silaha za moto na kutoruhusu mtu yeyote kuingia ukumbini, baadhi ya vijana wamekamatwa.
View attachment 3412150
View attachment 3412151
sawa vaa chupi yako uendeHao wamekiuka amri ya Maha kama, polisi wako sahihi, tena ilibidi wakamatwe
We ni mjingaYa kuzuia shughuli za Chadema nchi nzima
Rpc wa Morogoro aburuzwe mahakamani kwa jina lake, hawa ni kwenda nao kwa mwendo huu,periodJeshi la Polisi Mkoa wa Morogro leo Julai 20, 2025 limedaiwa kuvunja kongamano la Baraza la Vijacha Chadema (BAVICHA) kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa baraza hilo Taifa, Deogratius Mahinyila.
View attachment 3412155Taarifa kutoka BAVICHA zimesema askari wa kutuliza ghasia walizingira eneo la ukumbi wakiwa na mabomu na silaha za moto na kutoruhusu mtu yeyote kuingia ukumbini, baadhi ya vijana wamekamatwa.
View attachment 3412150
View attachment 3412151