VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
mbona threaad inasema saa tatu?nyie mlishaambiwa mwisho wa kukaa bar ni saa tano na ikifika saa tano bar zifungwe. hata hivyo waliwahurumia mungepelekwa mahakamani kwa kosa la uzululaji. nyie ndo mnafanya kazi ya polisi kuwa ngumu. wenzinu wapo doria nyia mwawapigia kelele.
Wangesema kuna majambazi yenye siraha yamekimbia na kujichanganya kwenu si sasa hivi mungekuwa mnasaidia jeshi la polisi?. wana roho nzuri kama kweli waliwaachia bila masharti.
mbona threaad inasema saa tatu?
ingekuwa wana nia ya kukwapua wasingeenda na gari na namba zao za uniform wangeficha kwa makoti. kama vipi wangepeleka report na gari iliyo husika kituoni. sababu kukwapua sio kazi ya polisi bali wachache watovu wa nidhamu ndo wanafanya hivyo. mi nmesema saa tano sababu hizi ni habari za kuambiwa na neno la mtu mmoja ni tamu. akisutwa ndo anabainika.
nyie mlishaambiwa mwisho wa kukaa bar ni saa tano na ikifika saa tano bar zifungwe. hata hivyo waliwahurumia mungepelekwa mahakamani kwa kosa la uzululaji. nyie ndo mnafanya kazi ya polisi kuwa ngumu. wenzinu wapo doria nyia mwawapigia kelele.

na wasiwasi na wewe utakua ni mmoja wao na hao polisi waliofanya tukio hilo la ujambazi we mtu kakwambia ilkua saa tatu usiku ila we mwenzetu hata hatukuelewi unasema nin hapo.nyie mlishaambiwa mwisho wa kukaa bar ni saa tano na ikifika saa tano bar zifungwe. hata hivyo waliwahurumia mungepelekwa mahakamani kwa kosa la uzululaji. nyie ndo mnafanya kazi ya polisi kuwa ngumu. wenzinu wapo doria nyia mwawapigia kelele.