Polisi waua tena

Si wanajua hata wakiua hawafanywi lolote,liwalo na liwe...............
 
Siku watmuua dhaifu au mwanae ndo serikalin itaamka.
 
nahisi ni mpango wa ccm kutafuta pesa za kampeni 2015 maana hali yao ya kipesa ni mbaya
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…