Inaonekana hawa jamaa walikua majambazi kwa mujibu wa muhudumu wa gesti...Tena hata majina yao ni kama watu wa kigoma hawa..hakika ni majambazi wakutupwa hao wanatokea burundi na kuua watu Geita hongera raia wema kwa kuwapa kichapo manyangau hayo...Wamwambie zitto aanzishe jamhuri yao si walisema wanataka jamhuri ya wachawi wa kigoma...
sikia hadithi zao.....tulipata taarifa kutoka kwa raia juu ua mazungumzo yaoooo, wanajua hatuwezi kuthibitisha hayo!
polisi njaa nendeni mkapore nyumbani kwa nchimbi,chagonja na mwema
Kwa uzoefu unapokwenda kukagua guest house lazima iende kamati ya ulinzi na usalama nikiwa na maana si lazima kamati yote but at least mwakilishi mmoja ambae ni raia na lazima awe mtumishi wa serikali, polisi si wa kuwaachia kufanya mambo wenyewe inapokuja suala la kwenda kufanya searching kwa watu na ndio maana ukienda mtaani wanatakiwa kwenda na kiongozi wa serikali za mtaa
Kuna siku kibao kitageuka na hakutakuwa na amani tena
Inaonekana hawa jamaa walikua majambazi kwa mujibu wa muhudumu wa gesti...Tena hata majina yao ni kama watu wa kigoma hawa..hakika ni majambazi wakutupwa hao wanatokea burundi na kuua watu Geita hongera raia wema kwa kuwapa kichapo manyangau hayo...Wamwambie zitto aanzishe jamhuri yao si walisema wanataka jamhuri ya wachawi wa kigoma...
J
KAULI YA KAIMU RPC
Akizungumza na NIPASHE, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Paulo Kasabago, mbali na kuthibitisha kuwapo kwa tukio hilo, alisema kuwa uchunguzi wa Jeshi la Polisi umebaini kuwa askari wake walienda kwenye nyumba hiyo ya kulala wageni baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema kuhusiana na kuwepo kwa watu wanaohofiwa kuwa ni wahalifu kutokana na mazungumzo yao wakati wakinywa pombe kabla ya kuingia ndani ya vyumba vyao.
Askari wetu walikwenda eneo hilo baada ya kupigiwa simu na raia mwema kuwa watu waliokuwa wakinywa pombe kwenye gesti hiyo siyo wema kutokana na mazungumzo mbalimbali waliyokuwa wakiyazungumza kabla ya kuhama nje na kuingia ndani ya vyumba vyao, alisema Kasabago.
Kufuatia hali hiyo jeshi hilo linawashikilia askari wake wanne akiwemo mkuu wa kituo hicho, Sajenti Raulens Bendera, kwa ajili ya uchunguzi wa kina kuhusiana na tukio hilo la mauaji na kwamba itakapothibitika kuhusika, hatua za kisheria zitashika mkondo wake.
.
hujui lolote kaa kimya kamat ya ulinz ndio,.!