Polisi watoa form za kujiunga 2013 may 14

mattnard

Senior Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
106
Reaction score
32
Hawa jamaa wametoa fomu kwa waliopo chuoni kama upo mtaani inakuwaje utaratibu wazee tupeane mtaa pagumu bora kuwa hata riafande
 
Sijui nirudi chuoni?
Anyway, ngoja nirudi O-level maana JWTZ wao watapeleka fomu O-level na wale wa Magereza watapeleka fomu shule za msingi, Uhamiaji wao watapeleka A-level wakati JKT watataka wale waliosoma darasa la 8 la mkoloni na waliopitia K.A.R
CHAGUA MWENYEWE UTAKAPOENDA.
 
Hawa jamaa wametoa fomu kwa waliopo chuoni kama upo mtaani inakuwaje utaratibu wazee tupeane mtaa pagumu bora kuwa hata riafande
ndugu tunaomba utusaidie hiyo websit ya polisi ambayo inatangazo hilo na sifa gan na kozi gan wanaohitajika?🙂
 
Aisee hebu 2saidiane mawazo Kuna jamaa yangu anautaka upolisi hata leo ila yupo Home amemaliza chuo last year hv fitina inawezekana akapata kweli?
 
Apa naaply again mwaka jana walinichinja..dk za majeruhi. Haiwezekani
 
Chuo gani wametoa bwana mkuu nyooka na habari vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…