Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,549
Polisi wameruhusu mikutano ya ndani ya vyama vya siasa kufuatia shinikizo la baraza la vijana CHADEMA Bavicha.
Ikumbukwe Polisi wamekuwa wakivuruga mikutano ya ndani ya vyama vya upinzani mfano mahafali ya CHASO,kongamano la ACT na vikao vya kawaida vya vyama vya siasa.
Tayari mameya Na wenyeviti wa Halmashauri wa CHADEMA wamefanya kikao huko Arusha bila kutawanywa na Polisi.
Hongereni Bavicha, sasa hakuna sababu ya kwenda Dodoma.