Polisi wapigana kibaha mzani

nani alipingwa mkuu?traffic au askari wa kawaida?
 
yaani wewe hata dar es salaam ilipoishia ujui kazi kuropoka tu kama tobo lissu

Acha ungese wewe,samaki mmoja akioza wote wamechina kama gesi ra polisi la kova na masisiem yenu na miwaziri mizigo....
 
tuwarudishe mwonduli, ama ccp kwa mafunzo ya ziada
 
nani alipingwa mkuu?traffic au askari wa kawaida?

Mwanangu askari wa kawaida alidundwa si unajua wana lishe duni. na ndie alienda kushtaki mpaka habari zinakufikia wewe. sopitali walitaka alazwe lkn makamanda wakatumia busara akaugulie kwa mkewe
 
Kabisa yena anatumika sana na kina azania na hawa bin kleb wote kila wiki anaenda kubeba bahasha.
 
uchochezi kama wa dokta slaa

...kunatofauti kubwa sana kati ya ukweli mchungu na uchochezi. Tofauti ya cdm na ccm ni ktk kusema na kuuishi ukweli. Ccm ukisema ukweli lazima ung'olewe kucha ndo maana wengi ni ndio mzee na kulamba viatu wapate kula...
 
...afterall pinda aliruhusu kupigana so ntashangaa sana kama watafanywa lolote...
 
Acha ungese wewe,samaki mmoja akioza wote wamechina kama gesi ra polisi la kova na masisiem yenu na miwaziri mizigo....

nyie mliokuja mjini kwa ajili ya kusoma kila kitu mnabisha...we kubali kuwa ulienda chaka kusema kuwa kibaha ni eneo la kova bila kujua kova mwisho wake ni wapi..sio unakurupuka tu kama matendo yasiyo ya hiyari
 

Pale ni kitega uchumi buku buku toka asbh mpaka jioni anatoka na mzigo wa chenji.
 
yaani wewe hata dar es salaam ilipoishia ujui kazi kuropoka tu kama tobo lissu
unapojitahidi kulinda uovu na dhambi kwa kirungu ujiangalie kwenye kioo maadili ya kazi kitengo cha trafiki ni sifuri wananuka rushwa sio kibaha tu ni tanzania nzima zinahitajika juhudi za ziada na uthubutu kurejesha nidhamu iliyoppotea
 

dhambi za Ruswa zimewatafuna wafukuzwe kazi iwe fundisho kwa wengine
 
me ata cwashangai ani hao kawaida apo pana ulaji sana ndo mana wanapigana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…