Polisi wapata kichapo katoro kagera

Polisi wapata kichapo katoro kagera

Trezedayam

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
18
Reaction score
1
Polisi wa Rider walikuwa kwenye gurio la katoro wanasema wamekuja kumkamata jambazi walipofika wakaanza kularushwa kama kawaida wananchi wakakasirishwa na kitendo hicho huku wakitaka ela kwa mabavu wananchi wenye hasira wakawapiga na kupora silaha na kuchoma moto pikipiki.Lakini baadaye silaha ilipatikana kwa msaada wa Diwani wa katoro.

Sent from my BlackBerry 9900 using
JamiiForums
 
Dah...!! Yaani Kagera kama sio TZ vile wao kuanzisha majanga kwa maafande sio kitu cha kujishauri mara 2, walishalianzisha Chato mpaka wakateka kituo, Mtukula walimchapa afisa wa Takukuru mpaka kakimbia, Karagwe walimzimisha aliyefumwa na meno ya tembo, huko Ngara ndio usiulize. Henhee hao wa leo wamepona?
 
Hii ikitumika nchi nzima inaweza kutusaidia kutunza rasilimali zetu.
 
Polisi wa Rider walikuwa kwenye gurio la katoro wanasema wamekuja kumkamata jambazi walipofika wakaanza kularushwa kama kawaida wananchi wakakasirishwa na kitendo hicho huku wakitaka ela kwa mabavu wananchi wenye hasira wakawapiga na kupora silaha na kuchoma moto pikipiki.Lakini baadaye silaha ilipatikana kwa msaada wa Diwani wa katoro.

Sent from my BlackBerry 9900 using
JamiiForums
Katoro si Kagera ni Geita mtoa mada.
 
Leo wamepona ila cha moto wamekiona na sijui kama kazi watakuwa nayo mana mmh

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
---- vipi jeshi lichukue nchi basi kuwe na nidham katika kila idara
Jeshi lipi mkuu? kama ni jeshi la polisi hakuna tofauti na magamba!! JW nao usiseme kabisa, yaani kazi yao kubwa ni kula nguruwe kwenye mabanda na kufadhili wizi
 
Nchi yetu hii tatizo kubwa rushwa na ningumu sn kuimaliza

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Polisi wa Rider walikuwa
kwenye gurio la katoro wanasema wamekuja kumkamata jambazi walipofika
wakaanza kularushwa kama kawaida wananchi wakakasirishwa na kitendo
hicho huku wakitaka ela kwa mabavu wananchi wenye hasira wakawapiga na
kupora silaha na kuchoma moto pikipiki.Lakini baadaye silaha ilipatikana
kwa msaada wa Diwani wa katoro.

Sent from my BlackBerry 9900 using
JamiiForums

Safi sana, tena wangewaua na kuwachoma moto kabisa hao Polisi-ccm, kwani walichofanya ni sasa sasa kabisa na wafanyacho majambazi.
 
---- vipi jeshi lichukue nchi basi kuwe na nidham katika kila idara

Jishini kwenyewe ndo kumeoza kabisa na wao ndo wanaongoza kwa ufisadi, rushwa, ujambazi, wizi etc... Sasa wakichukua nchi si ndio itakuwa hatari zaidi. naona unaleta mambo ya kesi ya nyani kumpelekea ngedere
 
He he he he !!!!!!!! polisi bana? yaani rushwa ni kabla kuliko kazi? mimi nawapongeza hao wananchi wenzangu
 
te teeh teeeh haaa! uwiii ............ nyumbani hapo ngoja wawatie adabu nakuja huko soon!
 
Polisi wa Rider walikuwa kwenye gurio la katoro wanasema wamekuja kumkamata jambazi walipofika wakaanza kularushwa kama kawaida wananchi wakakasirishwa na kitendo hicho huku wakitaka ela kwa mabavu wananchi wenye hasira wakawapiga na kupora silaha na kuchoma moto pikipiki.Lakini baadaye silaha ilipatikana kwa msaada wa Diwani wa katoro.

Sent from my BlackBerry 9900 using
JamiiForums

Kwanini wasingewang'oa meno na kuwanyofoa kucha kama wanavyofanya kwa waandishi wa habari makanjanja
 
Dah...!! Yaani Kagera kama sio TZ vile wao kuanzisha majanga kwa maafande sio kitu cha kujishauri mara 2, walishalianzisha Chato mpaka wakateka kituo, Mtukula walimchapa afisa wa Takukuru mpaka kakimbia, Karagwe walimzimisha aliyefumwa na meno ya tembo, huko Ngara ndio usiulize. Henhee hao wa leo wamepona?

Mkuu wa wilaya tu ndiye aliyeweza kuwapiga viboko walimu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom