Polisi wanapotumia gari zisizo na plate number, kwanini wananchi wasiamini matukio ya utekaji yanafanywa na wao?

Polisi wanapotumia gari zisizo na plate number, kwanini wananchi wasiamini matukio ya utekaji yanafanywa na wao?

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Kumekuwepo na mjadala mtandaoni baada ya kuonekana gari dogo linalodaiwa kuwa la polisi likiwa bila namba ya usajili maeneo ya Tabata, Dar es Salaam. Hali hii imewaacha baadhi ya wananchi na maswali lukuki, hasa ikizingatiwa kwamba magari yasiyo na plate number mara nyingi huhusishwa na matukio ya utekwaji au ukamataji usiofuata taratibu.

Maswali yanayoibuka ni kama: je, gari lisilo na namba likifanya ukamataji linaondoa hofu kwa wananchi au linaizidisha? Je, jeshi la polisi linaruhusiwa kuendesha magari yasiyo na usajili hadharani, na kama linaruhusiwa, ni katika mazingira gani?

Na kama wananchi wakihoji au kuhusisha magari ya aina hiyo na matukio ya utekwaji, je hilo linaweza kuchukuliwa kama kosa au ni sehemu ya wasiwasi unaotokana na kutokuwepo kwa uwazi?.

1764406787995.png
 
angalia tairi kipara, hivi huyo polisi anaweza kweli kukusimamisha, kukagua gari lako na kulizuia kutumia barabara kama halikidhi viwango? cha ajabu v8 ya wakuu wa polisi moja tu ingeweza kuboresha vitendea kazi vya askari wengi sana tu, na hapo wala sijagusia bado anasa nyingine ambazo hazionekani ...
1764407675466.png
 
Fanya KAZI acha kushangaa magari, au endelea kuangalia TV ya shemeji Yako hapo Tabata..
 
Juzi nimeona la Jeshi jipya nalo halina namba pia la Polisi nalo halina namba nikashangaa sana.
Ndiko tulikofikia!!!
 
Back
Top Bottom