C cathman Member Joined Nov 28, 2011 Posts 9 Reaction score 0 Dec 19, 2011 #21 eeh hiki ndicho kisiwa cha amani ninachokifahamu.
C cathman Member Joined Nov 28, 2011 Posts 9 Reaction score 0 Dec 19, 2011 #22 Hivi hii dhana ya polisi jamii mnaionaje wana JF, inawezekana vipi wakati polisi na wananchi ni maadui? umefika wakati ni heri kukutana na mwizi kuliko kukutana na polisi. hii ndiyo miaka hamsini ya uhuru?
Hivi hii dhana ya polisi jamii mnaionaje wana JF, inawezekana vipi wakati polisi na wananchi ni maadui? umefika wakati ni heri kukutana na mwizi kuliko kukutana na polisi. hii ndiyo miaka hamsini ya uhuru?
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Dec 19, 2011 #23 Bange hizo! Au wanagombea dem au kuna mfanyabiashara mwenzie ameamua kumlostisha sina jibu kwa kweli nji ya kikwe........ Mambo yamekuwa vululuvululu
Bange hizo! Au wanagombea dem au kuna mfanyabiashara mwenzie ameamua kumlostisha sina jibu kwa kweli nji ya kikwe........ Mambo yamekuwa vululuvululu
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 293 Dec 19, 2011 #24 hiyo ndio kauli mbiu ya polic ya kutii sheria bila shuruti
Papa Mopao JF-Expert Member Joined Oct 7, 2009 Posts 4,157 Reaction score 2,663 Dec 20, 2011 #25 Maisha magumu yanavuruga sana ubongo kufikiri vizuri!
C CHIPANJE JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 321 Reaction score 53 Dec 20, 2011 #26 Eti Tanzania inasheherekea miaka 50 ya uhuru,uhuru ni nini?