Sasa kwanini polisi anampiga mtu ambaye teyari yupo chini ya ulinzi?Polisi walimuendea na kufanikiwa kumdhibiti na kuanza kumpatia mkong'oto wa nguvu.
Investigation inatakiwa ifanyike!! huenda kukawa na kundi ya watu nyuma yake waliokuwa wanahusika zaidi na wengine huenda walikuwa ndani ya bank, kijana aliporusha jiwe wateja wakatafaruki na wenye dili kumaliza mission kiulainiiiiiiiiiiiiiiii.
Matatizo kama haya yanatakiwa taasisi huru kama NCIS (National Criminal Invistigation System). Lakini kwa nchi yetu, itachukua miaka mingi kufikia hiyo hatua!
Sasa kwanini polisi anampiga mtu ambaye teyari yupo chini ya ulinzi?