Polisi wakamata jeneza likiwa limejaa zana za kivita badala ya maiti

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,500
3,481
Huko Lagos Nigeria, wamekamata jeneza likiwa limebeba zana za kivita wakidai ni maiti. Mmoja wa watu alokua kwenye gari hilo, alivaa kama pasta, kana kwamba ndiye anayehusiika na maombezi kabla ya mazishi kumbe ni mwanajeshi.

Tunashauri polisi wetu wa kwenye vizuizi, wawe wanakagua vizuri majeneza kabla ya kuyaruhusu.
h4.JPG

h3.JPG

h1.JPG

h2.JPG

h5.JPG

Tragic! Not all coffins carries corpse In Nigeria “Some are used to carry instruments of death”

Wonders Shall Never End, Not all coffins carries corpse. Some are used to carry instruments of death.

These folks were intercepted on their way from Lagos to Ondo State, conveying ammunition under the guise of burial.

"Ladies and gentle men of the house just take a look at what Army personal recovered yesterday on check points. We should advice our police men on the high way to take Note with this kind act.

This guys carrying arms and armunetions one of them acted as a Pastor and even carrying a copy of Holy Bible my God forgive them.Details later.
 

Attachments

  • h7 (1).JPG
    h7 (1).JPG
    42.3 KB · Views: 87
kwa Nigeria usione ajabu hao wote watuhumiwa ni Polisi au wamepta hizo silaha kutoka polisi
 
Back
Top Bottom