Polisi wafumua kituo cha ‘unga’ Dar

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
pOLISI-WA-mAKONGORO.jpg
Polisi wakiwadhibiti vijana kwa utumiaji wa madawa ya kulevya.

Stori: Makongoro Oging’, UWAZI

DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, jijini Dar limekifumua kituo cha watumiaji wa madawa ya kulevya ‘unga’ na kuwakamata vijana zaidi ya 90 waliokutwa eneo hilo lililopo Mwembeyanga, Tandika.

Jumatano iliyopita mchana, polisi wakiwa na magari yao sita walivamia eneo hilo na kuwazunguka bila kutarajia kisha kuwashika na kuwapeleka Kituo cha Chang’ombe.

Gazeti hili lilishuhudia kamatakamata hiyo ambayo ilitokana na malalamiko ya wakazi wa eneo hilo ambao waliwatuhumu vijana hao kuwa licha ya kuvuta unga, lakini pia hufanya vitendo vingine vya kihalifu.

Zoezi hilo la kamatakamata linasemekana kuwa ni nguvu mpya ya kamanda mpya wa polisi wa mkoa huo ACP Gilles Muroto (pichani), ambaye amechukua nafasi ya ACP Andrew Satta aliyehamishiwa Kanda Maalum ya Polisi Tarime-Rorya.

Akizungumza na gazeti hili, Kamanda Muroto alisema msako huo mkali unaendelea katika mkoa mzima ikiwa ni pamoja na kuwasaka majambazi na akinadada wanaojiuza kwa jina maarufu machangudoa. chanzo.GBP
 
Acha Uongo Leo Nimepita mwembeyanga pako Shwari na Kwa Kuwa Serikalini Mishahara midogo mimi huwa nachukua Bangi Gunia mbili ambapo huwa zinaniingizia Million 6 ambapo Usafili na Vijana wanaouza Huwa nawalipa 12,000 kwa siku. Na kete huuzwa kwa Tzs. 500 hawa madogo hubeba hadi kete 200 kila mmoja kuzisambaza maeneo ya Mwembeyanga, Tandika Sokoni ,Ferri,Koko beach na Tazara ambapo mara nyingi huisha Ninachowapendea hawa madogo hawavuti na Biashara inaenda vizuri na nimepanga kuwapandishia Per diem yao. Mwembe yanga poa tuu
 
Una beep wahusika sio!? Uwe tayari kupokea ukipigiwa simu.
 
Biashara yenyewe kama ndio hivyo, inalipa sana!
 
Hongera kamanda!
 
Acha Uongo Leo Nimepita mwembeyanga pako Shwari na Kwa Kuwa Serikalini Mishahara midogo mimi huwa nachukua Bangi Gunia mbili ambapo huwa zinaniingizia Million 6 ambapo Usafili na Vijana wanaouza Huwa nawalipa 12,000 kwa siku. Na kete huuzwa kwa Tzs. 500 hawa madogo hubeba hadi kete 200 kila mmoja kuzisambaza maeneo ya Mwembeyanga, Tandika Sokoni ,Ferri,Koko beach na Tazara ambapo mara nyingi huisha Ninachowapendea hawa madogo hawavuti na Biashara inaenda vizuri na nimepanga kuwapandishia Per diem yao. Mwembe yanga poa tuu

= usafiri
 
Una beep wahusika sio!? Uwe tayari kupokea ukipigiwa simu.
Nina mwaka wa Tatu nafanya hizi issue na Pia namiliki Costa Mbili hizi haziingizi pesa kama Bangi kwa sababu Operating Expenses ni nyingi! Ni bingwa wa Hiyo michezo na Kamwe huwa siiweki Ndani Kwangu na siwezi kuacha hii biashara.
 
Biashara nzuri japo wachawi ni wengi sema ukiwa mzoefu raha sana
 
Nina mwaka wa Tatu nafanya hizi issue na Pia namiliki Costa Mbili hizi haziingizi pesa kama Bangi kwa sababu Operating Expenses ni nyingi! Ni bingwa wa Hiyo michezo na Kamwe huwa siiweki Ndani Kwangu na siwezi kuacha hii biashara.

Dah kijana we kiboko
 
Sijawahi kusikia au kuona mtu anajigamba kwa mauwaji ya vijana na wazee kwa kuwauzia SUMU.
Sasa sijui tukupe hongera au rambi rambi?
Eti nina Costa mbili
Usije ukasema nilikuwa natania.
 
Acha Uongo Leo Nimepita mwembeyanga pako Shwari na Kwa Kuwa Serikalini Mishahara midogo mimi huwa nachukua Bangi Gunia mbili ambapo huwa zinaniingizia Million 6 ambapo Usafili na Vijana wanaouza Huwa nawalipa 12,000 kwa siku. Na kete huuzwa kwa Tzs. 500 hawa madogo hubeba hadi kete 200 kila mmoja kuzisambaza maeneo ya Mwembeyanga, Tandika Sokoni ,Ferri,Koko beach na Tazara ambapo mara nyingi huisha Ninachowapendea hawa madogo hawavuti na Biashara inaenda vizuri na nimepanga kuwapandishia Per diem yao. Mwembe yanga poa tuu
Nawaza tu, jinsi MODS watakavyokuwa kwenye kigugumizi watakapoombwa taarifa za mtu kama huyu na WANA USALAMA.

Utani mwingine unaondoa credibility ya JF.

Kama ni kweli, unahusika watoe ushirikiano ushughulikiwe! Huwezi kutujazia mateja mitaani!
 
...hizi operation za kukamata dagaa siku zote huwa nazidharau sana, I wish wangetulia na kuweka bonge la mtego na kuwanasa manyangumi. naamini hii ilikuwa operation ya kamata wazururaji....
 
Una beep wahusika sio!? Uwe tayari kupokea ukipigiwa simu.
Commet zako zimekaa ki mikwala mikwala sana aisee. Japo nina hakika huyu jamaa anatania kama ingekuwa biashara yake inamuweka mjin asinge ji expose kiasi hiki.

Duc in Altum
 
Kwa hiyo unatakaje!?
 
Ungetokea muujuza wana jf wote wangekutana then kila mtu akawa amebandikwa id yake nina hakika ingependeza sana.

Duc in Altum
 
Back
Top Bottom