jossam paul
Member
- Jul 29, 2012
- 14
- 1
kwa kufanya hvo mhimil wa mahakama umedhalilishwa kwa ujnga wa polis wasiojua hata 'a' ya sheria.kuna procedures maalum za kufuata ili kumuwajbisha hakm au judge kwa misbehavior aliyo nayo kuliko kudhalilisha mhmil huu wa haki na sheria.polis wana kes ya kujb b4 the court of law.