Kwahiyo huko kwa Lissu ndio watapata hela zakuwalipa wanaotudai?Polisi wameenda kupekua nyumbani kwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu , wakiongozana na mwanasheria huyo.
Labda wanaenda kutafuta mkojo wa nyumbaniPolisi wameenda kupekua nyumbani kwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu , wakiongozana na mwanasheria huyo.
Tundu Lissu ambaye anawadhulumu wapiga kura wake kwa kutumia mda mwingi akiwa Vizimbani anakabiliwa na Kosa la Uchochezi na Kumkashifu Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Unaongea kiushabiki kama uvccmPolisi wameenda kupekua nyumbani kwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu , wakiongozana na mwanasheria huyo.
Tundu Lissu ambaye anawadhulumu wapiga kura wake kwa kutumia mda mwingi akiwa Vizimbani anakabiliwa na Kosa la Uchochezi na Kumkashifu Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wemeenda Kuangalia Zile Nyaraka Police Bana Kila Mara Wanampekua Lissu Ajabu Hawatoki Na Kitu Wanaishia Kumuomba Mkojo.