Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Kama ni kutufichulia ufisadi wa kumiliki magari yaso yake ya wauza madawa kisa walitishiwa khaa, acha nionekane nna upungufu mange ni kiboko ya Sizonje
 
Na yule mwanamke lazima keshaenda kuripoti,akiitumia barua ya jana kama official evidence.
Yule mwanamke ana akili kali sana. Ukiingia kwenye page yake ndio utajua ni active kiasi gani. Washamrahisishia kuzidi kumuweka US. Ujinga kitu kibaya sana. Unaandaa mtego wa kumnasa mtu, badala ya kutoa verbal directive, unaliandika libarua na saini kuuuuubwa.
 
Duh!

Yaani serikali nayo iwe inaendeshwa na matukio ya Instagram?

Aiseeee

68f6c3a013e4988278d48850bd145028.jpg
 
Serikali kupitia idara ya Uhamiaji imesema inamtafuta popote pale Mange Kimambi anayeishi Marekani kwa tuhuma za kuibua uovu mbalimbali Katika Serikali na watu wengine

Mange Kimambi amekua Blacklisted ambapo hataruhusiwa kuingia nchini au Kutoka nchini.

Mange ambaye kwa juhudi zake hutumia namba ya simu ya WhatsApp kukusanya taarifa mbalimbali pia ameipata barua hiyo ya siri ikiwaelekeza maofisa wa uhamiaji uwanja wa ndege.

Anaweza akapewa Uraia kamili kama mkimbizi sasa maana ile document ikifika US atasaidiwa Pia namshauri ahame Los Angels anakokaa kwa sababu panajulikana Kwani Serikali Ina Mkono mrefu inaweza kutuma Ujumbe wa kumaliza huko.

Ningeweza kuleta shot yake ya instagram lakini ametumia lugha ya matusi sana na ameiweka Private sasa.
Kufanikiwa kumdhuru au kumkamata ndani ya marekani ni vigumu sana. Watu wote wanaokimbilia marekani baada ya kuingia katika ugomvi na serikali zao hubaki salama mpaka marekani watakapoamua kuwasalimisha. Ninachoweza kumshauri kwa sasa huyu awaeleze serikali ya marekani uhusiano alionao na serikali ya Tanzania kwa kuwapa hata documents hizi ambazo zimesambazwa kumtafuta ili waweze kumfatilia kwa karibu
 
Tatizo wabongo hamjui sheria.

HUWEZI KUHUKUMIWA KWA KOSA ULILOTENDA NCHI INGINE. Mange akija Bongo hana kesi ya kujibu. Mpare kwa kesi kaisoma sheria. Labda wamshililie kama Lema.
Hatujui sheria!! Sawa wewe unajua sheria endelea kumshauri aendelee kutukana watu na kuwadharirisha (bullying) then utajua mbeleni sheria zinamlinda wapi..... Hao mashabiki wake sidhani kama ni watu wema bali wanamponza na kumpoteza. Wataalamu wanasema unapotumia kilevi kaa mbali na social media unaweza post kitu ambacho utajajutia baadaye
 
Mkuu kwa kipindi hiki US wanatoa gamba ovyo kama kipindi cha nyuma?
Hukusikia kuna wasomalia wamerudishwa makwao na walikuwa na RP?
Je waghana nao waliorudishwa makwao?
Kwa utawala huu wa trump upo tofauti sana ingekuwa kipindi cha obama jamaa alikuwa fair sana.
Hapa tusubiri tuone serikali itakavyoumiza kichwa kumpata mwanadada huyu mi nafikiri anatumiwa na baadhi ya watu ambao wapo kwenye nyazifa kubwa serikali ili ampake mavi mkulu na mwanae.
Kama sivyo basi CDM wamempa ajira hiyo?
Nasema hivyokwasababu yeye binafsi ni CDM pure.

CDM pure? Uyu sindie aliekua anampigia kampeni Magufuli uko Instagram?
 
Nyie ndo wale makondoo mnaburuzwa tu na serikali anatokea shujaa wa kufunua uozo wa serikal mnawaza kumuua mange anafact na evidence sio kukurupuka kama humuelewi unamatatzo
Kama nawe unamsupport mshenzi anaetumia lugha ya kishenzi huku akijficha chini ya mwamvuli wa demokrasia kuwaletea watu ushenzi,basi nawe ni miongoni mwa washenzi.
 
Mkuu kwa kipindi hiki US wanatoa gamba ovyo kama kipindi cha nyuma?
Hukusikia kuna wasomalia wamerudishwa makwao na walikuwa na RP?
Je waghana nao waliorudishwa makwao?
Kwa utawala huu wa trump upo tofauti sana ingekuwa kipindi cha obama jamaa alikuwa fair sana.
Hapa tusubiri tuone serikali itakavyoumiza kichwa kumpata mwanadada huyu mi nafikiri anatumiwa na baadhi ya watu ambao wapo kwenye nyazifa kubwa serikali ili ampake mavi mkulu na mwanae.
Kama sivyo basi CDM wamempa ajira hiyo?
Nasema hivyokwasababu yeye binafsi ni CDM pure.
Itakua hujui hata criteria za kua asylum seekee na pia kua granted refugee status marekani, marekani wana 5 grounds of persecution on account of race, ethnicity, political opinion, zingine 2 nimezisahau hizo grounds zinaweza kua real au imputed huyu pia serikali ya marekani imesideline mataifa amabayo yana security threats...somalia,mali, libya,syria na afghanistan....
 
Kabla ya yote je anachoongea kina ukweli ama hakina ukweli?

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
kina ukweli na kinachoma kumoyo
ni sawa na wewe umwambie mkeo usiku mkiwa kitandani kuziba mianya ya mtoto wenu kujishirikisha na ngono alafu kesho yake asubuhi mezani mtoto anaanza kuropoka hamniwezi starehe yangu na maneno kibao
 
Hivi hii ishu inahusisha homeland security ama Department of justice?,

na najua hatuna extradition treaty na hawa watu,sasa kazi ipo kwenye kuiridhisha departmeny of justice ikubali akamatwe huko na kuletwa huku,na tena ikionenekana ni mambo ya siasa na usalama wake utakuwa hatarini hawataruhusu.
 
Ila hii habari itakuwa ni uvumi tu maana tulishazoea haya mambo kwa kauli za "wabaya wangu wananitafuta" na zingine "taarifa zao ninazo tayari"
 
Back
Top Bottom