Ndio kawaida wezi wa mabilioni wanapelekwa palestina kufagia ila wezi wa kuku wanaozea jela kudadeki wiiiiziiii mtupu.
tatizo munabwbwaja ushahidinhunaHaha madumu ?? Wakati mamilioni ya lita za mafuta yanaliwa na wajanja kama OILCOM NA WENZAKE LAKE OIL
Huko pia kuna haja ya kutumbua majipu maana kuna wala rushwa na wanaosingizia watu kesi. Yaani kwa mimi ambaye nina uzoefu na shughuri za bandari kwa hayo madumu ya mafuta waliyoyakamata naamini yatakuwa ya madereva wa malori wameuziwa na wale wadereva wa bandari wanaoendesha TT kule ndani. Ila sio mafuta ya kutoka kwenye meli.Tuna
Taifa linahitaj kuzaliwa upya maana kila kona madudu, na je hao polis wao ni wasafi maana nako huko polis kuna madudu usiseme
Umeandika nini hapa ?? Ndio leo umeanza kutembelea hii forum ?? Kuna uzi kibao zinaeleza huo upumbavu wa hayo makampuni zitafutetatizo munabwbwaja ushahidinhuna
sawa ushahidi wekeni .Sio kubwabwaja kama bata arrrrraah!!Umeandika nini hapa ?? Ndio leo umeanza kutembelea hii forum ?? Kuna uzi kibao zinaeleza huo upumbavu wa hayo makampuni zitafute
Ha ha polisi sidhani kama wana uwezo wa kumkatama Lake oil.. Lake oil deal zao ndio kama tipper .. Bomba linapitishwa chini kwa chini... Polisi katoka mbagala na gobole lake yeye analinda nani kaiba madumu.. Haha kumbe wataalamu wanapitisha bomba au wanapitisha kontena zima mbele ya macho yao hawa mbweha.... Deal zingine ni hizo wanafanya ma trsnsaction ya kufa mtu huko benk.. Dadeki.. Polisi atakuaje haya yote??Siku hayo madumu yanapelekwa Kisutu mahakamani kama kielelezo yatakutwa ni matupu hayana kitu ndani. Badala ya kukamata mafuta yanayoibiwa na Oilcom na Lake Oil wanatuletea dieseli ya wapiga nyoka.
Ushahidi gani unautaka??sawa ushahidi wekeni .Sio kubwabwaja kama bata arrrrraah!!
Ulitaka wayafanyeje hayo madumu? Na je hukumbuki kua wiki 2 zilizopita haohao polisi unaowakandia walikamata Lita 19200 za diesel? Wewe unaweza ukawa mmoja wa hao wezi vinginevyo una chuki binafsi na polisi.Haha madumu ?? Wakati mamilioni ya lita za mafuta yanaliwa na wajanja kama OILCOM NA WENZAKE LAKE OIL
Kama polisi siyo wasafi ni nani unayedhani wewe kua ni msafi? Nenda basi wewe kalinde hiyo bandari km unaona polisi hawafai.Tuna
Taifa linahitaj kuzaliwa upya maana kila kona madudu, na je hao polis wao ni wasafi maana nako huko polis kuna madudu usiseme
Ni kweli mimi ni mmoja wa hao wezi ,haya nenda mahakamaniUlitaka wayafanyeje hayo madumu? Na je hukumbuki kua wiki 2 zilizopita haohao polisi unaowakandia walikamata Lita 19200 za diesel? Wewe unaweza ukawa mmoja wa hao wezi vinginevyo una chuki binafsi na polisi.