Polisi wa Ivory cost vs mashabiki

Polisi wa Ivory cost vs mashabiki

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
319
Reaction score
277
Kufuzu kwa Ivory Coast kucheza fainali za Africa mwakani kumegubikwa na tukio la mashabiki wa nchini humo kuvamia uwanja kwa furaha baada ya kumalizika mchezo huo dhidi ya Cameroon uliomalizika kwa sare 0-0 huko Abidjan.

IV.jpg



IV1.jpg
 
Rungu hao jamaa wanapeleka popote hawachagui na wala hawajali kama litakufikia kichwani
 
Back
Top Bottom